huyo mwanamke alipokufa sikuamini ni kama waliharibu,ila bado ilinoga kwa ajili ya yule jamaa mwizi hiviMy favorite kwenye Lost alidumu muda mfupi sana ndani ya Season 2 kama sikosei... huyu si mwingine bali Anna-Lucia... i like the girl, she's tough...omg! nilisikitika sana alipouawa... to be honest, nika-loose interest hata kama nilijihidi kumalizia season.
huyo mwanamke alipokufa sikuamini ni kama waliharibu,ila bado ilinoga kwa ajili ya yule jamaa mwizi hivi
.........Aisee kuna Series inaitwa Arrow ni noma. Wametoa hadi Season 3 Episode 09 na wanaendele kuandaa Episode 10 yaani naisubiria kwa hamu ili niipakue. Series nyingine tamu inaitwa Teranova ila niliiona Season 1 tu sina uhakika kama wametoa nyingine.
Michelle imeshakuwa kama tendency kwa madirector wa Hollywood kumuweka anakufa na imeshajulikana audience wanakasilika ndio maana kwenye Residential Evil na Fast and Furious wamemrudisha kwa kufojifoji,sikuamina alivokufa kwenye Avatar...
Ila kwa case ya Lost litaka mwenyewe alikuwa na project nyingine kama ilivokuwa kwa yule Eccko nae alitaka wamtoe.
Michelle ndie mlatino pekee anayekubalika sana Hollywood kutokana na uzuri wake na utuff wake wa kilatino.
Mkuu Teravona ni ya mwaka jana walisitisha ikiwa season 1
kwangu mimi, ni kama waliharibu kabisa... sema sikuwa na neno baada ya kugundua kwamba hata mwenyewe alishasema angeshiriki only one season, so ilikuwa ni lazima iwepo namna ya kumpoteza but nilisikitika sana!!!
sure... karibu mara zote huwa namuona kwenye similar character... kama sio working with a military unit basi vyovyote itakavyokuwa lazima atakuwa kwenye part inayomuonesha ni very tough. mie nilianza kuwa na mahaba nae kutokea kwenye filamu ya Girlfight... nadhani hii ilikuwa ama ndo movie ya kwanza au ya kwanza kumtambulisha. Na kutokana na character aliyocheza kwenye Girlfight, ikawa almost kila movie/series anayocheza, character aliyokuwa anapewe ni ile ile... TOUGH GIRL!
wakuu character gani anavutia ukishamwona kwenye series yoyote anakufanya ufuatilie hizo series
sijaangalia naona wadau wanaisifia
Mara nyingi acting zake ni aidha polisi au mwanamke taff sijui ka umewahi muona with different character
mmmhh kweli nyie wapenzi wa movie mnavyowajua na kuwachambua characters!! wakati mie naweza maliza movie ukiniuliza hata jina halisi la main charecter walaa cjui, ilimradi nimeangalia movie
Naamini kuna vitu unavikosa kwani unapoangalia unajifunza si kupoteza muda tu Ku relax
kama strike back ilianza vizuri halafu John Porter akaja kufa,inakera,ila sasa hawa majamaa ina maanisha nini wanapoacha project ya mwanzo na kukimbilia nyingine?au kuangalia maslahi