Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
aende huko na nasibu zake..!😁😁Kwakweli mi napenda anavyo ponyoka kwenye mikono ya detective kwa nasibu zinazo niacha kinywa wazi. Jamaa hakamatiki licha ya kufanya mauaji
aende huko na nasibu zake..!😁😁Kwakweli mi napenda anavyo ponyoka kwenye mikono ya detective kwa nasibu zinazo niacha kinywa wazi. Jamaa hakamatiki licha ya kufanya mauaji
Nilivyo na moyo mdogo, hata movie za kawaida hizi, ukatili kidogo tu naficha macho nisione..!Pia namna anavyo fanya mambo yake bila kuacha ushahidi. Nadhani hii ilipaswa iitwe HOW TO GET AWAY WITH MURDER 😁
Nashukuru kwa suggestion ya Apollo mkuu, vitu vyangu kabisa..!The westie🔥
Apollo has fallen🔥
hizi series usiache kuangalia
Naona Charlie na Daniela wamekwama kwenye boxNoma sana mimi naruka nayo ep moja moja hadi leo nimeimaliza huko apple tv
Kwa hiki kipande umenifanya niwe interested kuitazamaKwakweli mi napenda anavyo ponyoka kwenye mikono ya detective kwa nasibu zinazo niacha kinywa wazi. Jamaa hakamatiki licha ya kufanya mauaji
Anza na season 1Kwa hiki kipande umenifanya niwe interested kuitazama
Asante kijanaAnza na season 1
Looks interesting. Nimecheki trela yake hapaKorean drama: DEAD END JOB
Hii ni series Kali sana kutoka kwa wakorean ipo serious mno inahusiana na jamaa mmoja ana madeni makubwa halafu kazi hana katika harakati za kutafuta kazi anakutana na tangazo la kampuni inaitwa Spider staffing agency inayotoa ajira za muda zenye malipo mara 50 ya mshahara wa kawaida lakini Wana sharti moja la ajabu Hupaswi kutoa Siri yoyote kwa yanayoendelea hapo kazini.Rukeni nayo hii
Noma sana hiyo wakorea wamejitahidi sana mwaka huu kutuletea kazi nzuri hiyo unaangalia huku ukiwa na kinywaji chako pembeniLooks interesting. Ninecheki trela yake hapa
Noma sana hiyo wakorea wamejitahidi sana mwaka kukuletea kazi nzuri hiyo unaangalia huku ukiwa na kinywaji chako pembeni
Noma sanaNaona Charlie na Daniela wamekwama kwenye box
icho chuma kwl kwlNashukuru kwa suggestion ya Apollo mkuu, vitu vyangu kabisa..!
kama zali, nilisoma tu inahusu nini nikapakua, nitaleta mrejesho pia nikiitazama..!View attachment 3702169
Mzigo una trend sana duniani huko🍿. Hadi sasahivi episodes 2 tu zimeachiwa. Naishi nao nitawapa mrejesho
nmeangalia episode mbili tu itoshe kusema hii series ina utoto mwingi ila haya ni maoni yangu
Nitaleta mrejesho. Kumne hawajaacha utoto wao kama miili yao ilivyo ya kitoto?nmeangalia episode mbili tu itoshe kusema hii series ina utoto mwingi ila haya ni maoni yangu
ukifika ep ya pili ndo jau kabisaNitaleta mrejesho. Kumne hawajaacha utoto wao kama miili yao ilivyo ya kitoto?