Vipi wale wa blacklist?
Hizi ndio zimenifuraisha. Sijui ndio series mnazozungumzia au la
cis
cis la
Hakuna Wa kufanana na 24...believe me
Ingawa zipo series nyingi wadau wamesha zilist kwenye post nyingi tu ya hii thread Jaribu kuangalia...
homeland nipo season ya kwanza,iko poa,hizo zingine sijaona ngoja nizidownloadNimeona list yako hapo juu naona kama tunafanana katika uchaguzi wa genre za kutazama...
Jaribu kutafuta:
Homeland (Season 1 - 4) ina mandhari kama ya 24.
Arrow (Season 1 - 3) sasa hivi ipo season 3.
Gang Related (Season 1 - 2)
Break Out Kings hii nimeicheck kitambo nadhani ina seasons mbili tu...
Na nyingine nyingi mno siwezi andika zote...
mkuu sikuangalia ila ulivyoeleza huo mgawanyo imenivutia
aisee hiyo basi nzuri,mi napenda sana kesi na udadisi,series kama hizo nazikubali sanaNi ndefu kiasi mkuu...
Mfano CSI:Las Vegas imeenda hadi season ya 14 na nadhani wana mpango wa kuendelea season ya 15...
Kama ni mtu unayependa mambo ya udadisi wa kesi za upelelezi hii basi ni series poa sana...
homeland nipo season ya kwanza,iko poa,hizo zingine sijaona ngoja nizidownload
kwa series sijui ila huwa nikisikia jina nadownload torrent
Ngoja niitafute hio naona kila mtu anaisifia
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA .Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.Kwasasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa hunatokana na kilimo.Kwahiyo serikali lazima hitafute njia zingine zaidi kuhingiza mapato na hajira zaidi.Nafikiri tatizo kubwa zaidi ktk nchi yetu ni hajira kuwepo na mikutano namna la kutatua tatizo hilo.Sasa hivi tunawasomi na wanauchumi lazima wakae pamoja nakufafanua na jinsi ya kuwasidia wananchi .
wamerudi hewani
the originals S2 episode 10 hii https://kickass.so/the-originals-s02e10-hdtv-x264-lol-ettv-t10100966.html
vampire diaries S6 episode 11 https://kickass.so/the-vampire-diaries-s06e11-hdtv-x264-lol-ettv-t10113656.html
it's CSI mkuu...
Mwanzo walianza na CSI:Las Vegas, baadaye zikafuata CSI:Miami, CSI:New York na last year CBS wakatuletea CSI:Cyber...