Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hizi ndio zimenifuraisha. Sijui ndio series mnazozungumzia au la
cis
cis la

it's CSI mkuu...

Mwanzo walianza na CSI:Las Vegas, baadaye zikafuata CSI:Miami, CSI:New York na last year CBS wakatuletea CSI:Cyber...
 
it's CSI mkuu...

Mwanzo walianza na CSI:Las Vegas, baadaye zikafuata CSI:Miami, CSI:New York na last year CBS wakatuletea CSI:Cyber...
mkuu sikuangalia ila ulivyoeleza huo mgawanyo imenivutia
 
Hakuna Wa kufanana na 24...believe me
Ingawa zipo series nyingi wadau wamesha zilist kwenye post nyingi tu ya hii thread Jaribu kuangalia...

Atafute Homeland, inafanana kiasi na 24 kwa kuwa na yenyewe pia story yake ni US against terrorism...

Season 4 ndio imetoka kuisha mwishoni mwa mwaka jana, season 5 itaendelea katikati ya mwaka huu na pengine ikawa ndio season ya mwisho...

cc mambo
 
Last edited by a moderator:
Nimeona list yako hapo juu naona kama tunafanana katika uchaguzi wa genre za kutazama...

Jaribu kutafuta:

Homeland (Season 1 - 4) ina mandhari kama ya 24.

Arrow (Season 1 - 3) sasa hivi ipo season 3.

Gang Related (Season 1 - 2)

Break Out Kings hii nimeicheck kitambo nadhani ina seasons mbili tu...

Na nyingine nyingi mno siwezi andika zote...
homeland nipo season ya kwanza,iko poa,hizo zingine sijaona ngoja nizidownload
 
mkuu sikuangalia ila ulivyoeleza huo mgawanyo imenivutia

Ni ndefu kiasi mkuu...

Mfano CSI:Las Vegas imeenda hadi season ya 14 na nadhani wana mpango wa kuendelea season ya 15...

Kama ni mtu unayependa mambo ya udadisi wa kesi za upelelezi hii basi ni series poa sana...
 
aisee hiyo basi nzuri,mi napenda sana kesi na udadisi,series kama hizo nazikubali sana
 
homeland nipo season ya kwanza,iko poa,hizo zingine sijaona ngoja nizidownload

Mbele inanoga sana...

Nimetoka kumalizia kutazama season yote ya nne wakati huu wa holidays...

Season ya kwanza zile episodes za mwanzo wanaanza slow ila mbele kidogo story inaanza kuwa twisted na hapo ndipo raha ya series inaanza...
 
Ngoja niitafute hio naona kila mtu anaisifia

Bonge la series kama upo kifamilia zaidi..napenda script ambazo Walter anakuwa na familia yake.....
Iko kifamilia zaidi hasa kwa sisi tunaoanza kuwa mababa...ha ha ha
 
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA .Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.Kwasasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa hunatokana na kilimo.Kwahiyo serikali lazima hitafute njia zingine zaidi kuhingiza mapato na hajira zaidi.Nafikiri tatizo kubwa zaidi ktk nchi yetu ni hajira kuwepo na mikutano namna la kutatua tatizo hilo.Sasa hivi tunawasomi na wanauchumi lazima wakae pamoja nakufafanua na jinsi ya kuwasidia wananchi .

bado sijaipata mnazidi kunitamanisha
 
it's CSI mkuu...

Mwanzo walianza na CSI:Las Vegas, baadaye zikafuata CSI:Miami, CSI:New York na last year CBS wakatuletea CSI:Cyber...

Asante kunisahihisha. Wakati mwingine tunapost jioni umakini unakua chini kidogo
 
I can't get enough of siri ya mtungi aseeeee.......msimu wa pili ni mzuri zaidi...
 
Back
Top Bottom