leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 732
dada yangu Heaven on Earth ameangalia isidingo
Breaking bad ni noma
Mshkaji very decent baada ya kugundua anaumwa kansa na amebaki miezi kadhaa kansa imuue na akiangalia familia ni masikini hana cha kuwaachia, akaamua kujiingiza kwenye biashara ya madawa ya kulevya ili kupata pesa ya chap chap kabla hajafa kwaajili ya familia yake
Bahati kansa ikaisha na biashara ikamnogea
Bonge moja la stori, sio yakukosa kama unapenda series
You should watch:
Mistresses
Devious Maids
Scandal
Single Ladies
Royal Pains
Camelot
All have women in leading roles
atoto hiyo scandal ni noma....najua utaipenda tu
devious maids ni mpaka season 2, single ladies pia
Devious maids nzuri balaa niliishiaga season 1 ila inavutia
Scandal episode guide
Everyone has secrets and Olivia Pope (Kerry Washington) has dedicated her life to protecting and defending the public images of the elite by keeping those secrets under wraps. Pope and her team are at the top of their game when it comes to getting the job done for their clients, but it becomes apparent that these gladiators in suits, who specialize in fixing the lives of other people, have trouble fixing those closest at hand -- their own.
S1 Ep 1 Sweet Baby
When a young lawyer starts a new job at a crisis management firm, she must deal with an accusation against the nation's president on her first day.
This Season (1) Introduces Olivia Pope and the various members of her firm, as well as President of the United States Fitzgerald Grant (Tony Goldwyn) and Cyrus Beene (Jeff Perry), his chief of staff. The season focused on the lives of the team members, the relationship between Olivia and the president (her former employer), and the mystery surrounding Amanda Tanner's (Liza Weil) involvement with the White House, among other cases the team solved.

Scandal sijawahi kuiangalia ingawaje mara kadhaa nilishawahi kufanya attempt ya kutaka kuiangalia lakini sikufanya hivyo... ni kama synopses nilizokuwa nasoma hazikuwahi kunishawishi ingawaje mara kwa mara cover lake limekuwa likini-impres! Hebu angalia episodes tatu za mwanzo halafu nipe ripoti... mie kwa sasa naiangalia The Americans!

Season 3 Devious Maids had just started
Mistresses up to Season 2 you should watch that too.
Ila pamoja na Series zoote, ila kwa sasa BANSHEE ni noma, hatari sana hii kitu...
Scandal ni nzuri kinyama, you better start watching