Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Arrow ya kikorea ni balaaaa
mamii mie wakorea wamenishinda kwakweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arrow ya kikorea ni balaaaa
Ila pamoja na Series zoote, ila kwa sasa BANSHEE ni noma, hatari sana hii kitu...
you beta start watching it ni nzuri mnooo
Will try, sema dah, cku hizi nakosa kabisa muda wa kuangalia haya mautamu!Nimeanza kuiangalia The Americans zaidi ya mwezi sasa lakini hata episode ya 10 sijafika!!!Scandal ni nzuri kinyama, you better start watching
hii ni 2nd time naona unaisifia, sijui ni wewe au mwingine hv inahusu nn?
Wakorea nawa-feel sema naboreka pale tu ninaposhindwa kushika majina yao! Nimeangalia nyingi lakini bado cjui jina la msanii yeyote wa Kikorea zaidi ya Jumong na Kim nana... lol!mamii mie wakorea wamenishinda kwakweli.
Nmeanza na better call Saul sasa hivi episode 3....
Kaka the 100,ina epsode ngp kwa ujumla
Kaka the 100,ina epsode ngp kwa ujumla
Banshee takes place in the fictional small town
of Banshee, Pennsylvania. The series is based
around an unnamed protagonist, who spent 15
years in prison after stealing $10 million in
diamonds from his employer, a Ukrainian mob
boss called 'Rabbit'. Upon leaving prison, the
protagonist realizes that Rabbit is still after him,
and he escapes to a small town called
Banshee. This is also the town that he believes
his former lover and accomplice, Anastasia, is
living in. Unbeknownst to him, she has also
assumed a new identity (Carrie Hopewell) and is
married with two children. In an attempt to start
a new life, the protagonist assumes the identity
of Lucas Hood, a police officer, and becomes
the town sheriff. Banshee sees Hood struggle
with adapting to his new identity while dealing
with the machinations of local crime lord Kai
Proctor, piecing together his relationship with
Anastasia, and remaining hidden from Rabbit.
Wakorea nawa-feel sema naboreka pale tu ninaposhindwa kushika majina yao! Nimeangalia nyingi lakini bado cjui jina la msanii yeyote wa Kikorea zaidi ya Jumong na Kim nana... lol!
kuna THE BLACKLIST bonge moja la series jaribuni kuingangalia.
Bado haijanoga ila kama unakumbuka kwenye breaking bad Mara ya mwisho Saul alibadili Identify na kuhamia mji mwingine
kuna THE BLACKLIST bonge moja la series jaribuni kuingangalia.
it seems nice