kinachoboa wakorea ni hizo subtitles lakini sie wengine kv kizungu chenyewe ni cha kuunga uunga basi hata hao wanaoongea kuzungu ni lazima tubandike na subtitles ndipo 2naweza kwenda pamoja... kwahyo, kwa hili najionea sawa tu!mie wakorea hapana kwakweli zimenishinda, cmalizagi hata episod moja, ukiongezea na kuconcetrate na sub title ndio kabisaaaa!!!
Redmond ni zaidi ya mtu wa kawaida sijawahi ona mtu anaigiza ana connection na criminal na system kama yeye!
Ha haa na kwenye Breaking Bad kuna mtu anaitwa Soul, ni noma anaconnection balaa
Kila kitu kinachowezekana basi kinawezekana kwake
Wakuu jana jpili ndio nimemalizia kuangalia Game of Throne, bonge moja la series kwa wanaopenda mambo ya kale
Naisubiri kwa hamu niione season six kujua hitma ya Tyrion, Arya, John Snow, stanish, Daenerys, Sansa, Beilsh nk
Ha haa na kwenye Breaking Bad kuna mtu anaitwa Soul, ni noma anaconnection balaa
Kila kitu kinachowezekana basi kinawezekana kwake
Saul kwa Redmond bado sana jamaa mafia sana licha ya connection!
mkuu jamaa anaitwa REDDINGTON.
Red ni noma mkuu, anatisha na kwa hakika hii series inanifanya niwaze mengi sana. inawezekana baadhi ya mambo ya mle hata hapa bongo yapo.Redmond ni zaidi ya mtu wa kawaida sijawahi ona mtu anaigiza ana connection na criminal na system kama yeye!
oooh!! hii ninayo ila sijaianza naangalia kwanza scandal, nikimaliza taianza
ukianza kuangalia the blacklist utaachana na hiyo scandal mpaka uimalize kwanza trust me.
basi siachi scandal mpaka iishe, teh! cant wait!
Kyle xy episode 5 ntaipataje?
Nimeishia no 4 kwenye CD!!!
Mkuu fafanua vizuri unamaanisha season 5 au episode 5? kama unamaanisha season 5 haipo kwani ilisitishwa baada ya season 4!