Series (Special thread)

Aisee tafteni izi siriz ndugu zanguni, kwasasa zote bado zpo sizon ya kwanza ni sheedah
1.BACKSTROM
2.AGENT CARTER
3.EMPIRE
4.CONSTANTINE
5.FOREVER
6.EYE CANDY
7.GOTHAM
8.THE FLASH
9.HOW TO GET AWAY WITH MURDER
10.SCORPION
11. MYSTERIOUS OF LAURA
12.STATE OF AFFAIRS
13 STALKER

Nazifatilia hzo now ni tamu sana kama iyo Forever, empire na eye cand ni fulu utam
 
mwenzangu na mie kama wewe tu sijaiangalia. labda chige na leonardo da vinc watusaidie

sizon 3 inanza next month! Nmemmis sana artista! Swali ni je ule mtambo wake wa bom alokua kashauwashia njit atakbal ulipue meli walokua wakiilenga wakat kashaoneshwa kwenye mel yupo mamake na mpenz wake
 
Last edited by a moderator:
ukianza kuangalia the blacklist utaachana na hiyo scandal mpaka uimalize kwanza trust me.

hahahahah umeonae wish ile flash drive aloikuta agent liz keen kwenye ule mdol iwe ndo fulcrum...itanoga sana cpat picha rey reddington atavokua
 
Mkuu namaanisha season 5 na kwann ilisitishwa?

Sifahamu exactly kwa nini ilisitishwa lakini ninavyofahamu ni kuwa series inaweza kuwa cancelled kutokana na kuwa na watch rates ndogo au waandaaji wakipata hasara humble to be corrected!
 

Duh mkuu hapo nafuatilia Forever na scorpion tu!
 
mie nakubali series za korean, kama jumong,the man called god Lobbist,city hunter , the poor docta ,iljumae the return of iljumae ,the prince of sendiote na sitaisahaua the promise ya kifilipino
 
mie nakubali series za korean, kama jumong,the man called god Lobbist,city hunter , the poor docta ,iljumae the return of iljumae ,the prince of sendiote na sitaisahaua the promise ya kifilipino:A S 576:
 
karibu mama.....hiyo breaking bad umeiona? hebu nsimulie kidogo naona wengi wanaisifia.

Breaking bad inahusu jamaa moja anaitwa Walter alikuwa mwalimu wa chemistry then akaja gundua anaumwa kansa na hana cha kuiachia familia hence akajiunga na kijana mtukutu pinkiman aliekuwa mwanafunzi wake na kuanza kutengeneza madawa ya kulevya brand ya blue ambayo yalitokea kupendwa na wadau ghafla inatokea ka miujiza anapona kansa na tayari kesha nogewa na fedha ndipo kizaazaa kinaanza anakuwa mafia kupindukia na kuogopwa sana na wamexco hata familia yake bila police kujua kutokana na kujulikana na jina feki la hensenberg
 
mwenzangu na mie kama wewe tu sijaiangalia. labda chige na leonardo da vinc watusaidie

Ni series nzuri unajifunza mengi sana kutokana na changamoto alizokutana nazo Walter alikuwa very innocent but at last anakuwa more than a monster but regardless who we become familia na furaha ni vitu muhimu sana in life time n.b series hii inahitaji uvumilivu kwani inaanza very slow but kuanzia season two katikati inakuwa nzuri sana!
 
Last edited by a moderator:

duuuh!!! mpaka season two!!! basi nitaanza na s2 alafu ikininogea narudi s1! teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…