juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
Me hapo nafatilia the flash tuAisee tafteni izi siriz ndugu zanguni, kwasasa zote bado zpo sizon ya kwanza ni sheedah
1.BACKSTROM
2.AGENT CARTER
3.EMPIRE
4.CONSTANTINE
5.FOREVER
6.EYE CANDY
7.GOTHAM
8.THE FLASH
9.HOW TO GET AWAY WITH MURDER
10.SCORPION
11. MYSTERIOUS OF LAURA
12.STATE OF AFFAIRS
13 STALKER
Nazifatilia hzo now ni tamu sana kama iyo Forever, empire na eye cand ni fulu utam
Nimeshaingalia kidogo lakini ilinishinda... nimeishia episode 5 nikawa kila wakati nalala kwahiyo nikaipiga chini!!!mwenzangu na mie kama wewe tu sijaiangalia. labda chige na leonardo da vinc watusaidie
Nimeshaingalia kidogo lakini ilinishinda... nimeishia episode 5 nikawa kila wakati nalala kwahiyo nikaipiga chini!!!
Kulikoni?mweeeeh!!!
1. Je mitandaoni siwezi kudownload?
2. Je series ipi ambayo inaendana na hii?
1. Je mitandaoni siwezi kudownload?
2. Je series ipi ambayo inaendana na hii?
leonardo da vinc
Kuna swali hapo juu naomba mnisaidie!!!!!
duuuh!!! mpaka season two!!! basi nitaanza na s2 alafu ikininogea narudi s1! teh
Wanajamvi naombeni mnisaidie vizuri..? Hivi series inayoitwa Breaking Bad ina mashiko gani..?
Mnaotazama empire....is it good kama power???
Wakuu jana jpili ndio nimemalizia kuangalia Game of Throne, bonge moja la series kwa wanaopenda mambo ya kale
Naisubiri kwa hamu niione season six kujua hitma ya Tyrion, Arya, John Snow, stanish, Daenerys, Sansa, Beilsh nk
basi siachi scandal mpaka iishe, teh! cant wait!
Hahaha hata mimi ilinipa shida sana kuangalia mwanzo ilikuwa hainivutii but baada ya kupata msisitizo kutoka kwa mkuu viol niliamua kukomaa nayo to be honest sikujuta ni series nzuri sana inahaki ya kuongoza kwa watching rates kubwa kwa muda mrefu
mm hyo blacklist ilishaga nishinda kwa kweli.....sijui nirudie tena
jamani sio wewe umenishauri niuangalie alafu unanigeuka tena!!!