Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hembu jaribun kuwatch hii kitu the libririan ndo season 1 imekamilika

Now hiz nipo na muskerteers se2 na the flash

Na mwenye series nzur naomba anisaidie jina nianze kuzifatilia
👏👏👏👊👊
 
Aisee tafteni izi siriz ndugu zanguni, kwasasa zote bado zpo sizon ya kwanza ni sheedah
1.BACKSTROM
2.AGENT CARTER
3.EMPIRE
4.CONSTANTINE
5.FOREVER
6.EYE CANDY
7.GOTHAM
8.THE FLASH
9.HOW TO GET AWAY WITH MURDER
10.SCORPION
11. MYSTERIOUS OF LAURA
12.STATE OF AFFAIRS
13 STALKER

Nazifatilia hzo now ni tamu sana kama iyo Forever, empire na eye cand ni fulu utam
Me hapo nafatilia the flash tu

Agent carter niliichek ep 1 tu sikuipenda ikabid niipotezee
 
Leonardodavinc
Kuna swali hapo juu naomba mnisaidie!!!!!
 
Last edited by a moderator:
1. Je mitandaoni siwezi kudownload?
2. Je series ipi ambayo inaendana na hii?

Mkuu sory nilikuwa nimebanwa na shughuli but unaweza kuzidownload hata kwa simu kama ifuatavyo:-

1) Download apps inaitwa kikass torrent kutoka playstore kisha ukifungua app hiyo itakupa option ya kusearch kisha kudownload episode au any series unayotaka kwa ukubwa unaotaka
2) download apps inaitwa utorrent au vuze kutoka playstore kisha nenda kwenye opera min kisha Google pirate bay itakuletea sehemu imeandikwa download music,movie and so on bonyeza hapo kisha itakuletea option ya kusearch series unayotaka Fanya hvyo kisha chagua episode unayotaka bonyeza kisha itakuletea page kuna sehemu imeandikwa get this torrent bonyeza hapo Keisha itakupeleka kwenye uttorent au vuze kisha bonyeza sehemu imeandikwa add kisha itaanza kudownload
3) fuata maelekezo ya uzi ufuatao :- Wewe ni mgonjwa wa series? Pakua hapa buree bila kutumia torrents clients ni kama unavodownload mp3 - https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=796538
Wewe ni mgonjwa wa series? Pakua hapa buree bila kutumia torrents clients ni kama unavodownload mp3

Nb kwa kupata updates za series tumia link zifuatazo:- www.free-tv-video-online.me/internet
www.watchseries.lt
 
1. Je mitandaoni siwezi kudownload?
2. Je series ipi ambayo inaendana na hii?

Mkuu series zilizonivutia kidogo zinaendana na hiyo ni

Vikings
Spartacus
Da Vinci demons
Marco polo
Pia kuna movies ambazo naziconsider kuwa ni best kwangu ni:-
Apocalypto
Troy
 
duuuh!!! mpaka season two!!! basi nitaanza na s2 alafu ikininogea narudi s1! teh

Hahaha hata mimi ilinipa shida sana kuangalia mwanzo ilikuwa hainivutii but baada ya kupata msisitizo kutoka kwa mkuu viol niliamua kukomaa nayo to be honest sikujuta ni series nzuri sana inahaki ya kuongoza kwa watching rates kubwa kwa muda mrefu
 
Wanajamvi naombeni mnisaidie vizuri..? Hivi series inayoitwa Breaking Bad ina mashiko gani..?
 
Mnaotazama empire....is it good kama power???

Ipo poa sana nayo Terence Howard kacheza vizuri sana sijui itakuwaje akishafariki ...mule watu wengi maarufu wapo kina Naomy Campbell ..merry j blige.
Inahusu mambo ya music how to run the business na migogoro ya kifamilia..
Jinsi Terence asivyompenda Mtoto wake mmoja ambaye ni Gay lakini ana kipaji balaa cha kuimba!
 
Wakuu jana jpili ndio nimemalizia kuangalia Game of Throne, bonge moja la series kwa wanaopenda mambo ya kale
Naisubiri kwa hamu niione season six kujua hitma ya Tyrion, Arya, John Snow, stanish, Daenerys, Sansa, Beilsh nk

Inayofuata ni season 5 sio 6
 
The originals imefikia patamu ... :rockon:

 
Last edited by a moderator:
Hahaha hata mimi ilinipa shida sana kuangalia mwanzo ilikuwa hainivutii but baada ya kupata msisitizo kutoka kwa mkuu viol niliamua kukomaa nayo to be honest sikujuta ni series nzuri sana inahaki ya kuongoza kwa watching rates kubwa kwa muda mrefu

mie movie inayoboa mwanzoni huwa naangali tu pale nisipokuwa na movie ya kuangalia
 
jamani sio wewe umenishauri niuangalie alafu unanigeuka tena!!!

hapana minimekwambia breaking bad....the blacklist mi ninayosiku nyingi lakini nilishindwa kumaliza hata episod 1. au labda umechanganya na skendo
 
Back
Top Bottom