Ariella A.K
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 198
- 61
Ah! Hii blacklist nime download s01 sijaimaliza bado lakini huenda nikaaicha njiani,naona jamaa wapo ka staring wa kihidi,hamna upinzani hata kidogo.
Nimeikubali sana "Homeland".
Mkuu naomba sijakelewa naomba usinichoke nieleweshe tu.
Ah! Hii blacklist nime download s01 sijaimaliza bado lakini huenda nikaaicha njiani,naona jamaa wapo ka staring wa kihidi,hamna upinzani hata kidogo.
Nimeikubali sana "Homeland".
Crisis
The 100
Revolution
The Grim
The Tommorow People
The Walking Dead
Under the Dom
Ni kat ya Series Zilizonivutia zaid........
Mkuu kwenye hii ameigiza anaakili sana but sio main character for me ndo best series!
Haa Tylon lannister noma mjomba mi namkubali sana...unakumbuka pale king Jeffrey alipomwambia shut up you little monster Tylon akamjibu perhaps monsters are dangerous while king's are dying like flies watu wakabaki midomo wazi, king Jeffrey akasema "I'm a king you can't talk to a king like that" Mzee lannister akamwambia king Jeffrey "a king who always say I'm a king is not a king"
Nakumbuka sana kauli hiyo ndo ilipelekea akaonekana ndo alimuua king joffrey na huwa sitaki kuwatch episode isiyo na subtitles kabisa naisubiri sana April 12
Unajua kila kinachoongelewa kwenye GoT ni msemo mpya ....naifananisha na LOST kwa misemo...yaani kama quotes flani za kifalsafa...i enjoy watching it...sometimes it gives me new experience in life...
Kuna movie inaitwa troy itizame mkuu ina quotes nzuri sana
Unajua kila kinachoongelewa kwenye GoT ni msemo mpya ....naifananisha na LOST kwa misemo...yaani kama quotes flani za kifalsafa...i enjoy watching it...sometimes it gives me new experience in life...
karibu mama.....hiyo breaking bad umeiona? hebu nsimulie kidogo naona wengi wanaisifia.
Breaking bad ni nzuri,mpaka sasa sijaona series nzuri kama hilo,inahusu mwalimu wa chemistry aliyekuwa na cancer na alikuwa na maisha magumu ikabidi aanze kutumia chemistry kutengeneza madawa ya kulevya
aisee umenitia hamu...ngoja niitafute
Hii Meme nimeipenda, Scandal v/s Empire
hivi mamii una habari kuwa kuna mnuno unakuhusu?