Series (Special thread)

Series (Special thread)

hii empire sijaicheki ngoja taitafuta, alafu huyo binti namkubaligi sn so i hope i'll love the movie

My lady now days life is very easy na utakiwi kusema ntaitafuta coz i hope unatumia smartphone ...

Ingia kwenye web inaitwa #watchseries_online database yao inaseries zote ambazo zimewai kutokea duniani...from there unaweza kustream hama kudownlod

Mie nmeshaangalia series kama 10 kupitia iyo web kwenye tablet na simu yangu online...

Nakushauri tumia Voda kifurushi cha bila kikomo kwa siku 1000 tsh.....u can stream 24 hrs without kukwamakwama.....usitumie tigo wanazingua
 
Kuna "house of cards" aisee hiyo series kwa misemo tu wametisha,kama we mtu wa kupenda quotes utaenjoy sana.

Poa mjomba sikuwai kuifikiria but subiri niicheki...i will give u feedback...
 
Mkuu naomba sijakelewa naomba usinichoke nieleweshe tu.

kwanza ktk kfaa chako itabid uwe umeinstall app yakudownlod torrent mfano..(ilivid, IDM, U-torrent, vuze nk) then itabid uwe na access nzur ya internet, fungua browser yko then ingia kwenye web link yoyote inayoprovide torrent..mfano kama (G2G, Kickass torrent, torrentz, Extratorrent) ila kwa izo nizotaja hua napendlea kickass na iyo torrentz so ukishaifungua utaona sehem ya kusachia so utandika jna la criz or muv unayoitaka then ikshaleta results utakagua torrent yenye Mb znazoendana na uwezo wako bt angalizo jtaid kuchagua yenye seeders wengi coz itakupa urahis wakudownload..bas ukishaiona yenye cfa hizo ukiangalia iyo link column yake ya katkat utaona kuna kdude kipo kama leta n knaitwa magnet utapokimonya tu torrent yako itakua added ktk downloader yko na itanza kudownload! Then after unaisbir tu imalzie uanze kuinjoy hahahahah download criz zote bt usisahau FOREVER chezea henry morgan ww tehteh
 
Huku kumbe kudhuri eehm.but m nashindwa kabisa ku enjoy movie. U torrent naona miznguo tu. Mtu mwenye link za ku download series direct wthout u torrent anipe plz wakuu. Nipo ns TVD yangu "the vampire diaries " ila hata za kikorea nazpenda apart from Hollywood movies. Haya wale wa kikorea tuanzie hapa pia kwa wa Hollywood naomba ushauri wa series nzuri

kwakuanzia chek hzo
1.forever
2.empire
3.mysterious of laura

4sure hutojuta kpoteza mda wako
 
kwakuanzia chek hzo
1.forever
2.empire
3.mysterious of laura

4sure hutojuta kpoteza mda wako

I am not interested with adventures. . Mm n sci-fi, horror, action na romantic.
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.


1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
hizo ni baadhi tu

Breaking bad inahusu nn?
 
Breaking bad inahusu nn?

Mkuu wadau kibao wameielezea kabisa,kuna mdau hapo juu kaeleza.



Breaking bad inahusu jamaa moja anaitwa Walter alikuwa mwalimu wa chemistry then akaja gundua anaumwa kansa na hana cha kuiachia familia hence akajiunga na kijana mtukutu pinkiman aliekuwa mwanafunzi wake na kuanza kutengeneza madawa ya kulevya brand ya blue ambayo yalitokea kupendwa na wadau ghafla inatokea ka miujiza anapona kansa na tayari kesha nogewa na fedha ndipo kizaazaa kinaanza anakuwa mafia kupindukia na kuogopwa sana na wamexco hata familia yake bila police kujua kutokana na kujulikana na jina feki la hensenberg
 
"This is the captain speaking, Nathan James do you copy??? Nathan James do you read me??? Nathan James where are you????"



Daaaah hapo ndo ilipoishia last ship season 1....captain Chandler anawauliza crew wake kumbe meli ishatekwa...

Sijawahi kuwa anxious nikingojea series kama hiii last ship na power..
Come April nianze kui enjoy.
 
"This is the captain speaking, Nathan James do you copy??? Nathan James do you read me??? Nathan James where are you????"



Daaaah hapo ndo ilipoishia last ship season 1....captain Chandler anawauliza crew wake kumbe meli ishatekwa...

Sijawahi kuwa anxious nikingojea series kama hiii last ship na power..
Come April nianze kui enjoy.

Iko vizuri season 1 ila naona kama itapoteza plot uko mbele....tusubiri tuone..

Matukio yake mengi yamejaa uongo unaojidhiirisha
 
Iko vizuri season 1 ila naona kama itapoteza plot uko mbele....tusubiri tuone..

Matukio yake mengi yamejaa uongo unaojidhiirisha

Kwa hili janga la Ebola nadhani hiii series inaleta mshawasha mzuri sana....
 
Ndo nimeanza kuangalia CIS,vipi kuna aliyeangalia na inanoga huko mbeleni?
 
The blacklist S02e14 is out today 6/3/2015
scandal s04e14 is out, today 6/3/2015
 
Back
Top Bottom