Mkuu wadau kibao wameielezea kabisa,kuna mdau hapo juu kaeleza.
Breaking bad inahusu jamaa moja anaitwa Walter alikuwa mwalimu wa chemistry then akaja gundua anaumwa kansa na hana cha kuiachia familia hence akajiunga na kijana mtukutu pinkiman aliekuwa mwanafunzi wake na kuanza kutengeneza madawa ya kulevya brand ya blue ambayo yalitokea kupendwa na wadau ghafla inatokea ka miujiza anapona kansa na tayari kesha nogewa na fedha ndipo kizaazaa kinaanza anakuwa mafia kupindukia na kuogopwa sana na wamexco hata familia yake bila police kujua kutokana na kujulikana na jina feki la hensenberg
darling Viol shud i watch it??? ist gud?
Mwanzoni mwa season one utaiona ya kawaida ila inapoisha kuanza hapo yaani huwezi acha,sijawahi ona series tam kama hiyo si unaona hata inavyosifiwa,Hui series kali mno ukiaanza hutataka utoke kwenye TV.
Halafu miss u kipenzi
okey nitaitafuta
Breaking bad.....inagusa mambo ya kifamilia zaidi...season one inanifurahisha sana pale my wife wake Walter anavyoangaikia hali ya mume wake ya kiafya
Wadau hebu ichekini moja inaitwa STATE OF AFFAIRS...
Nmeangalia pilot na ep mbili hivi iko vizuri...Catherine Heigl amecheza kama CIA covert director..
Nampenda sana huyu Dada tokea kwenye Grey Anatomy... acting yake inanifurahisa coz kama anachekesha flani hivi katika kila anachokifanya na inaonekana hata kwenye real life anapenda kuchekesha...
Pia sura yake imefanana na my Ex ambaye sasa hivi ameshaolewa..

na ndio movie nipendazo mie, kifamilia zaidi, now naangalia "if loving you is wrong" nikimaliza taanza hiyo breaking bad
Mkuu statement yako ya mwisho imeniacha hoi kweli Kie Kie Kie Kie
teh teh teh!! basi utakuwa na sababu za kibinafsi zaidi kumpenda
Zamani wakati nakua miaka ile wakina Britney Spears,Pink,Christina agurela na Eve E wapo juu.
Kusema na ukweli nilikuwa nampenda kimapenzi kabisaaa Christina Agurela na Eve E yani nilikuwa nawaota kweli tena ile mitege ya Agurela na cat walk za Eve zilikuwa zinanifanya hata kusoma nashindwa kutwa tv...ile kweli foolish age...ha ha ha
Ndio hivo ameshaolewa mie nilikuwa namchelewesha eti...ha ha ha ila kiukweli huyu Dada mie nampenda..
poor you!!! hii itaendelea hii!!! let it go, life has to go on
Fanyeni KAZI acheni hizo ,zinawapotezea muda .
Shirika la kazi duniani linasema ,Mzimbabwe mmoja anafanya kazi ya Watanzani wanane na Mkenya mmoja anafanya KAZI ya watu wanne kwa hali hii ya series nimethibitisha ,utapata wapi muda wa kufanya kazi huku unafuatilia series.Watanzania tubadilike jamani tufanye kazi kwa bidii.