The blacklist kiboko
Empire ni nzuri na sasa ep 08 iko hewani.
Jamani.naulizia kama revolution wameshatoa season3 maana ni.mda sasa umepita
Yap ipo safi sana . . . .
Cookie anatisha naipenda mno next wk 2Hrs season finale
Yeah! Next week ni 2 hours jana nilipita sehemu nikakuta watu wanaizungumzia na kuisifia sana, hopefully they'll be able to maintain the good performance. Cookie naona anataka kumpa nookie yule head of security, Luscious akigundua ataua mtu.
Yaani Nookie,kajisahau mapema sana....kuna kitu kinampa jeuri bado sijaelewa ni nini,ila kuna sehemu nilisoma kuwa anaweza kuwa pale kwa sababu nyingine zaidi ya ulinzi, either anamchunguza Lucious au amekuja kubomoa empire....na akifanikiwa kulala na Coookie atakuwa amepunguza nguvu kubwa sana ya Lucious.....!
Chezeya wanawake warembo hasa pale anapokuonyesha anakutaka, kama si mtu mwenye msimamo thabiti basi unaweza kujisahau na kunaswa na mtego ukija stuka umeshaharibu kila kitu unabaki na majuto mjukuu na yule last born anaweza kumjia juu Luscious kwa kumsafirisha Cougar wake kwenda UK ili asiwe karibu na mwanae.
Cookie katoka jela jamani na ana stress na bado hajaamini bi mdogo kaondoka kimoja na Lucious anataka kutengeneza alikobomoa....yeye anataka tu kumuadhibu but anajiadhibu mwenyewe..... Hakeem, jinga lile toto...nimeliona kwenye interview anasema Hakeem has a thing for older women and mommy issues....nilicheka sana....asije akamlete baba yake bibi mwingine .....Maria Carey.....lol....just thinking!
LoL!!! Hahahahaha sasa kama Hakeem anaweza kusema kweli kwamba utamu wa older women unampa satisfaction kubwa kuliko wa rika lake asiseme kweli!? ππ cougars wanajua kulea vijana hadi wakawakimbia wale wa rika lao. You're two steps ahead of the show lol!!! Maria Carey sidhani kama Hakeem atakuwa na mchecheto naye ila kuna mrembo mmoja Tracey Edmonds inadaiwa naye atazuka kwenye siku za usoni. Huyu binti ni moto wa kuotea mbali ila BF wake in real life ana wivu wa kufa mtu sidhani kama ataridhia ashikweshikwe na Hakeem na kula denda hivyo łabda kama usemavyo inaweza ikawa Maria Carey.
ha ha ha ha mi huwaza tu ila Naomi pamoja uzuri wake sio muigizaji,especially ukimuweka na mtu kama Taraji au Terrence, nafurahi watu wengine pia wameona hivyo....uzuri Hakeem anajua kujidekeza kabisa na kujifanya mjinga na kusikiliza wabibi wake....I like that.....ukweli Lucious ni baba mzuri,nilifurai pale Hakeem alipomuuliza Did she accept the money? hakujibu ndio au hapana ila akamrudishia swali, what do you think?? Kijana akatulia.....!
ha ha ha ha mi huwaza tu ila Naomi pamoja uzuri wake sio muigizaji,especially ukimuweka na mtu kama Taraji au Terrence, nafurahi watu wengine pia wameona hivyo....uzuri Hakeem anajua kujidekeza kabisa na kujifanya mjinga na kusikiliza wabibi wake....I like that.....ukweli Lucious ni baba mzuri,nilifurai pale Hakeem alipomuuliza Did she accept the money? hakujibu ndio au hapana ila akamrudishia swali, what do you think?? Kijana akatulia.....!
BAK,
Huyo na Naomi unaona huyo ndio bora? Labda kwenye uigizaji ila uzuri,bora hata Naomi....huyu mzee kimuonekano zaidi ina shape nzuri na sio mrefu kama Naomi....ha ha ha ahaaaaa.
Ngoja tu niwe mpole nisitie neno. :majani7::majani7::majani7:
you keep dancing....lol...yaishe basi....ha ha ha ha aaaa!
Sawa yameisha ππ, but don't miss Empire's 2 hours of season finale.
Michelle, you forgot to include NOT in your statement, Thanks.
... I meant if ni season finale then tutakaa tusubiri season 2 au inaanza wiki itakayofuata?? will be so happy...:smile-big: , ndio nikasema I will miss my Cookie and the rest of Empire.