... I meant if ni season finale then tutakaa tusubiri season 2 au inaanza wiki itakayofuata?? will be so happy...:smile-big: , ndio nikasema I will miss my Cookie and the rest of Empire.
...Cookie is Empire.....pale alipomuambia Nookie....yeaah my name is Cookie,take a bite.....lol....anataka kila alilolikosa akiwa jela alipate sasa....Ila katika vyote napenda macho yake na namna anayojua kuyatumia,akihuzunika,akimringia Lucious,akishangaa,akiwatizama kuwapa moyo wanae. yaani she is excellent kwa kweli,she is and can be anything....,nisitie neno kwa LUcious.....he he he he!
Mhhh! Hapo kwenye rangi nimepapenda na ni kweli kabisa...Hopefully she'll continue to mesmerize us (the audience) with her excellent performance.
... I meant if ni season finale then tutakaa tusubiri season 2 au inaanza wiki itakayofuata?? will be so happy...:smile-big: , ndio nikasema I will miss my Cookie and the rest of Empire.
Yeah! Next week ni 2 hours jana nilipita sehemu nikakuta watu wanaizungumzia na kuisifia sana, hopefully they'll be able to maintain the good performance. Cookie naona anataka kumpa nookie yule head of security, Luscious akigundua ataua mtu.
Music is good too
Cookie katoka jela jamani na ana stress na bado hajaamini bi mdogo kaondoka kimoja na Lucious anataka kutengeneza alikobomoa....yeye anataka tu kumuadhibu but anajiadhibu mwenyewe..... Hakeem, jinga lile toto...nimeliona kwenye interview anasema Hakeem has a thing for older women and mommy issues....nilicheka sana....asije akamlete baba yake bibi mwingine .....Maria Carey.....lol....just thinking!
BAK,
Huyo na Naomi unaona huyo ndio bora? Labda kwenye uigizaji ila uzuri,bora hata Naomi....huyu mzee kimuonekano zaidi ina shape nzuri na sio mrefu kama Naomi....ha ha ha ahaaaaa.
Lucious staki nataka,security lazima apewe ye mwenyewe kadata. Kazi atafukuzwa akigundulika
So so good kwa kweli, waga ikiisha nasubiria you-tube na-download nasikiliza kila napokuwa.....wamejipanga sana....napenda sana choice ya wanamuziki wanaowaleta.....perfection!
Si bora afukuzwe kazi tu, Luscious alivyo mtata anaweza kabisa kumuua. Si unajua wanaume wengine walivyo na wivu uliopitiliza kwa warembo wao?
Si bora afukuzwe kazi tu, Luscious alivyo mtata anaweza kabisa kumuua. Si unajua wanaume wengine walivyo na wivu uliopitiliza kwa warembo wao?
Huwa natamani wangekua wanaonaonyesha masaa mawili
But i love them together security and cookie....
I thought ni acting tu kwani in real life yuko ivyo pia
Wengi wameliomba hili labda Fox wanaweza season 2 wakasikiliza matakwa ya audience na hivyo kuongeza saa moja.