I think tracy ni mzuri kuliko Naomi bwana,naomi sura hana
Hawawezi wanavitu vingi sana vya kuonyesha
sijui kuweka picha jamani, BAK naomba ile picha ya Naomi kwenye ile article tuwekee na Tracy....mi Naomi napenda sana uso na rangi yake na Tracy naona ana shape nzuri tu na vile sio mrefu sanaa ataendana na Hakeem kidogo.
Ninachompendea yule head of security yuko very romantic na hapo Cookie ndio anaweza kuchanganyikiwa hasa kama hajawahi kuonjeshwa mautamu ya hivyo na Luscious.
sijui kuweka picha jamani, BAK naomba ile picha ya Naomi kwenye ile article tuwekee na Tracy....mi Naomi napenda sana uso na rangi yake na Tracy naona ana shape nzuri tu na vile sio mrefu sanaa ataendana na Hakeem kidogo.
Uwiiii BAK, mi namuona Lucious ni very romantic na napenda sana anavyomuangaliaga Cookie na kumtania....maybe kuzoea bad boys ni kubaya....ha ha ha haaa
hahahahahaha lol! There you again 🙂🙂 In love with bad boys halafu hukawii kulalama.
I feel pity for lucious.,yani anaanza kurudisha moyo wake kwa cookie..cookie naye taa za kijani zishawaka kwa security..baba wa watu atakufa kwa mengi
Bad boys wanakuaga ni players lucious ana macho yanang'aa lazma mtu aingie king anakuangalia ka analia
hahahahahaha lol! There you go again 🙂🙂 In love with bad boys halafu hukawii kulalama.
ha ha ha ha ha haaaaaa...Insanity eeh...loving the same type of men and expecting different results,basi sawa!!!
Ila hata yule mlinzi sio mtu mzuri, kwanini amtake Cookie na ni mke wa bosi wake?
ha ha ha ha ha haaaaaa...Insanity eeh...loving the same type of men and expecting different results,basi sawa!!!
Ila hata yule mlinzi sio mtu mzuri, kwanini amtake Cookie na ni mke wa bosi wake?
Kujidai tu, nilipojua anampenda Lucious ni pale baada ya ile speech aliyoambiwa wa dance, wivu wake bi mdogo alipotangaziwa ndoa na hata kumuharibia Lucious kwa bi mdogo....she is just playing hard to handle.....waniletee kidogo dogo kama Rihanna hivi,halafu Lucious ampende fulani uone bi mkubwa atakavyorudi faster....wanawake type ya Cookie usiwahi kuonyesha ku-regret au sijui kuwa dhaifu....ndo majibu kama 'u don't want to die alone' yanapokuja while siku ile aling'ang'ania akamtunze, Lucious akamchagua bi mdogo.
Dah! hahahahahaha lol! eti anakuangalia kama analia lol!!!! Ngoja tumuone Head of Security akiwa na Cookie akimpa mautamu ya hali ya juu halafu tuamue kati ya yeye na Luscious who is more romantic between the two, mie nadhani Head of security atabeba taji, tusubiri.

Mungu atuweke....kweli lile toto haliwezi shinda baba Lucious....na mi-sorry sorry yake kama anaomba maji....eti am falling for you...mxxxxuuu,simpendi kabisaaaa.
Ts true..cookie z just playing lovehate things..ila kwenye hii episode ya 10,pale cookie anapotoka kuongea na lucious zen anakimbia kwa mlinzi kwenda kuomba faragha imenifanya nianze kuhisi cookie ameanza kufall kweli kwa mlinzi
That is a million dollar question, maybe someone will be able to remind him that "don't poop where you eat."