Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Wewe bana ha ha ha mtazame vile mi naona bora asingeuliza swali hilo!!!Lakini all in all size doesn´t matter :tape2::tape2::tape2:!!Hahahhaah..brad: is it bigger than mine??...
Alex: yes
Brad can improve all the areas bt nt that one lol...bibie anependa big things...kumbe size matters ehee??..lemme prepare another trip to china
I think Eddie is a bad influence to Brad he is implanting his anger on him to do evil stuff.I do not think he is a good friend!Eddie si mzima kiakili he needs help!
Mungu anatupa mitihani katika maisha ili atupime imani zetu na utu wetu na kweli imani ya Brad and Marcie zimepimwa.Inauma sana mtu unaempenda na kumthamini akikuvunja moyo...It hurts even more when someone you trust betrays you!!Its pure insanity!!I dont know how can someone get over such a scenario of life it surely needs someone with a big heart!!
I don´t think Brad is capable to do anything like that he is too good!!He is just going through a mental breakdown lazima udate baada ya scenario ka ile i cant even place myself is his shoes....and Eddie instead is taking advantage of the sitauation to place his anger out there i think he has POST TRAUMATIC STRESS DISORDER!!He was in war you know i think it has affected him.He needs a shrink!!Hahah!! Everything is possible in love and war..kabla ya hapo brad alimshangaa sana Eddie alivyomshuti julius..leo hekaheka iko nyumbani kwake..kuua anaona is nt a big deal
Huyo "Peppa" wako ndo amekuwa shetani??Na randol nae shetani dume ama??:thinking:Mungu hawezi kukupa jaribu kubwa kushinda imani yako..Na Mungu akikupa jaribu lazima kuna mlango wa kutokea..haya majaribu mengine yanaletwa na shetani kama wakina Alex lol!
Wewe bana ha ha ha mtazame vile mi naona bora asingeuliza swali hilo!!!Lakini all in all size doesn´t matter :tape2::tape2::tape2:!!
How you work it out matters 😛eep:😛eep:....Mi ndo mana nikasema maswali mengine bora mtu akudanganye tu..it makes u feel better somehow..kumbe size sio ishu...basi sawa..mi nakuamini dokta wangu..kama unaniingiza chaka shauri yako
Huyo "Peppa" wako ndo amekuwa shetani??Na randol nae shetani dume ama??:thinking:
Nishaijua hilo adhabu :hurt: let me keep it to myself...We wakunishakizia mie Baby Travis tu....:embarrassed1:Sijawahi kummiliki peppa mm..angukuwa mali yangu angekuwa ICU Now anavuta hewa ya kulipia..huyo randol ndo wala usiniulize adhabu ambayo ningempa..mana utanichukia bure
I don´t think Brad is capable to do anything like that he is too good!!He is just going through a mental breakdown lazima udate baada ya scenario ka ile i cant even place myself is his shoes....and Eddie instead is taking advantage of the sitauation to place his anger out there i think he has POST TRAUMATIC STRESS DISORDER!!He was in war you know i think it has affected him.He needs a shrink!!
How you work it out matters 😛eep:😛eep:....
Nishaijua hilo adhabu :hurt: let me keep it to myself...We wakunishakizia mie Baby Travis tu....:embarrassed1:
I like the girl Joey is trying to hook up with she is cute....its a good combo!!
We wapenda vizurivizuri tu hebu huko kaa nae mbali utamdumaza!!!Mtoto wa kishua yule anahitaji agemate mwenzake ka Joey!!Sure..ni ka-cute.. usinifanye nikabadili mawazo yangu kwa esperanza
We wapenda vizurivizuri tu hebu huko kaa nae mbali utamdumaza!!!Mtoto wa kishua yule anahitaji agemate mwenzake ka Joey!!
Aione Michelle :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:Kabisa nilivyofurahi acha!!!Nafuta ile kauli ya yule bibi nuksi...mkwe wangu huyu :eyebrows:Yeah nimeona..umefurahi mwenyewe..nahisi utanenepa bila hata kula
Ha ha haaa....We jitulize na Esperanza wako upambane na psycopath Eddie ka vile atakuachia ule utam wake...Angrrrrr!!!!! Na we ushaanza kuwa na akili za kizee kama mama ake Travis ehee??...