Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Guyz kuna series flan ivi inaitwa gotham kwa wale mnaoijua ktk kuamgalia movies na series sijawahi ona mtu aneweza kuigiza a snitch kama jamaa wanamuita penguin jinsi alivo anavotembe dah kile kipaj yan ni shidaa
Penguin ni mtambo ule..uwa ananichekesha sana..kasaidia kuipendezesha series
