Nipo episode ya 3 season 1
Hebu endelea bwana mbona nzuri tu, ila mbeleni mie ilinikera
Season ya 1&2 zilikuwa poa..ila ya 3 inabore kidogo
Kitu gani hicho
season 2 ishatoka kitambo..itafuteMweeeeh!! Mpaka tukio litokee ndio naotwa!!! Ila wengine wanaotwa tu!! Haya bwana, mie nishaiangalia hapa nasubiri tu season two, humo full michepuko
Nipo episode ya 3 season 1
season 2 ishatoka kitambo..itafute
Naona unaanza kunoga
inatoka kila week..imefika episode ya 6 nowWeee dont tell me, na hii long w.end hebu ngoja niitafute maana duuuh!
inatoka kila week..imefika episode ya 6 now
Thanx for the updates dear
mwanzo nilisikia hadi january 2016,ila nikaja kusikia tena wanajitahidi waiachie august mwaka huu..bado sina uhakika
nahisi mwaka huu mzigo utadondoka..mwakani mbali sanaMmmmh!! Hadi mwakani jamani si itakuwa mbali mno!! Anyway acha tungoje