Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ndiyo my baby girl ndo mida yenyewe njoo mpenzi wangu

Tufanye hiviiiii angalia kwanza utanisimulia unishawishi kuiangalia, ila hakikisha if loving you is wrong umeiangalia kwanza, alafu uje na majibu ya maswali ntayokuuliza baadae
 
I was watching the flash ni series nzuri pia, alafu ina uhusiano na arrow
 
Nimemaliza being Mary Jane, scandal na empire naomba nyingine kali wakuu
 
Kuna hii series mpya #AMERICAN_ODYSSEY kama kuna mtu anaicheki ndio kwanza imetoka hadi episode ya pili sasa, Y a kwanza nimeicheki, binafsi nimeipenda hasa the fact kwamba Nchi za Kiislam zinahusika. Movie zote ambazo wamarekani wameigizia nchi za kiarabu ama tamaduni za kiislamu binafsi huwa nazipenda sijui kwa nini... Humu ndani kuna Islamic State of Mali in Africa. Jaribuni kuiona It seems to be a good series. BTW Tyrant lini jamani kwenye ratiba? na Revolution nayo kimyaa?

kaka nimengalia American odyssey S01E01 ni nzuri E04 imetoka jana
 
naona Arrow hainogi sijui wengi mmependea nini
 
Back
Top Bottom