Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mahaba niue.....Si umeona pale alipokuwa anaweka kwenye gari na Psyco Eddie,peppa alivyokuwa akimtetea eti wasimpelekeshe haresist!!Brad imemuuma dah.....

Moyo ulikuwa unamwenda mbio..nasubiri kwa hamu scene ya brad na mercie next episodes.lol..brad nae asilaze damu
 
Moyo ulikuwa unamwenda mbio..nasubiri kwa hamu scene ya brad na mercie next episodes.lol..brad nae asilaze damu
mhhhh.....naona itakuwa msawajiko wote wawili wapo messed up!!Hata kama wakikulana itakuwa kama kulipiza kisasi au kukomoana na hivo inakuwa hainogi, inanoga if you have pure desire for each other like Peppa and Randol!!
Unadhani lucion atamfanya nn Eddie maana bwana yule anampanda kichwani good guy wetu...biti nyingi mi natamani ampe ngumi za uso wakati mwengine!!!Akimuexpose kwa kiongozi kama ni DIRTY COP itakuwa vizuri maana ni jizi halafu linabwia unga pia,Ila nahisi lucion ana wasiwasi kibarua kinaweza kuota nyasi!!!
 
Mkwe yuko upande wako..misifa yote ile aliyokumwagia bado umuamini tu??
Apart from all of that it doesnt undo how much he messed up with my feelings and broke my heart!He needs to love himself moreee!!!
 
mhhhh.....naona itakuwa msawajiko wote wawili wapo messed up!!Hata kama wakikulana itakuwa kama kulipiza kisasi au kukomoana na hivo inakuwa hainogi, inanoga if you have pure desire for each other like Peppa and Randol!!
Unadhani lucion atamfanya nn Eddie maana bwana yule anampanda kichwani good guy wetu...biti nyingi mi natamani ampe ngumi za uso wakati mwengine!!!Akimuexpose kwa kiongozi kama ni DIRTY COP itakuwa vizuri maana ni jizi halafu linabwia unga pia,Ila nahisi lucion ana wasiwasi kibarua kinaweza kuota nyasi!!!

U never kno..they can make a strong bond mwenyewe ukashangaa...sio kila penzi linaanza kwa hisia kali.sumtyms zinakuja along the way..locious ashachoka mabiti ya jamaa.nimefurahi kumuona locious akimpandishia eddie.naamini itafika kipindi eddie atakuwa mpole
 
mzee uko mbele sana, xiii the series au kuna another xiii. Ninavyojua mimi no. of season till now ni 2, sasa season 3 na 4 sijui umepakua wap
aisee mwenyewe nimeshangaa maana niko nasaka seasons nyingine... niko ya pli so far
 
Ndio hiyo kaka duh ww ndio uko nyuma
eleza ulipopakua sasa according to Wikipedia the number of season ni 2, nimesearch pia kwa torrent hakuna season 3, labda unieleze umecheki kwa cd za chama buguruni au niaje?
 
Back
Top Bottom