Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ha ha ha Eddy kapata mbaya wake lool kawa mdogo ka piriton hashuo la kuku lote limemuisha..
si unaona mafia walivyomuandama na shooting episode sijui ka atapona mtu pale!!!
ishatoka hiyo..itafute hujione ulichofanya..umerukaruka mwisho wa siku watu wamemaliza kazi kirahisi tu kama kumsukuma mlevi
 
Banshee
Game of Thrones
The Originals
The Walking Dead
Shameless(Kwa wale wanaopenda vituko na kucheka)
The 100
Modern Family
Houseof Cards
Crisis
Fringe
 
Ile njia ya jamaa nimeipenda..sumtymz kujitoa ufahamu kunasaidia..kelly ikabidi akubali tu kuepusha shari

Ww hata uromantic ule hunao Randol....kazi kujipendekeza kwa peppa tu hukomi shaa!Wanawake hawanaga makubwa hamtujuliagi tu nyinyi yaani vitu vidogovidogo unaona bi dada anapagawa!!!
 
Ww hata uromantic ule hunao Randol....kazi kujipendekeza kwa peppa tu hukomi shaa!Wanawake hawanaga makubwa hamtujuliagi tu nyinyi yaani vitu vidogovidogo unaona bi dada anapagawa!!!

Kumbe hivyo..ahsante kwa kunisaidia kuwajua..ngoja na mi nikafanye fujo ofisini kwa watu..ntaenda na band kabisa
 
Haya wapenzi wa series fuatilieni hizi mambo, hizi zote bado ndio mbichi zimeanza karibuni, isipokuwa Allegiance tayari ishamalizika season one;

1. Allegiance (hii inafanana kidogo na The Americans)

2. The Messengers

3. American Odyssey ( inanikumbusha Homeland ilivyokuwa)

4. Wayward Pines
 
ray lee miss kelly kakolea teh...genye habari nyingine kabisa kajikazaa lkn kwisha habari yake teh teh teh

Genye mbaya sana..unaweza kupita msitu wenye giza totoro bila woga..wakati wa kurudi baada ya kushusha mzigo ndo unajiuliza ulipitapitaje ...ila travis anamjulia Kelly..so hamsumbui
 
Last edited by a moderator:
Genye mbaya sana..unaweza kupita msitu wenye giza totoro bila woga..wakati wa kurudi baada ya kushusha mzigo ndo unajiuliza ulipitapitaje ...ila travis anamjulia Kelly..so hamsumbui

Mmmh! Mwaongelea series gani?
 
If luving u is wrong

Duuh mie ndio maana huwa siwezi narration maana when it comes to katching names ni shughuli, labda niwe nimeiangalia kwa muda hasa zile zenye season nyingi tena mara nyingi ni main characters tu, mlipokuwa mkitaja those names kwangu they wr new eti!! Hiyo ni season two??
 
yeah..season 2..nayo ndo imeisha..
 
Back
Top Bottom