ishatoka hiyo..itafute hujione ulichofanya..umerukaruka mwisho wa siku watu wamemaliza kazi kirahisi tu kama kumsukuma mleviHa ha ha Eddy kapata mbaya wake lool kawa mdogo ka piriton hashuo la kuku lote limemuisha..
si unaona mafia walivyomuandama na shooting episode sijui ka atapona mtu pale!!!
yeah..haipo kule hiyo..season 2 umeipata?
ishatoka hiyo..itafute hujione ulichofanya..umerukaruka mwisho wa siku watu wamemaliza kazi kirahisi tu kama kumsukuma mlevi
Miss kelly ha ha ha uwiii nimeona kaimbiwa....
Ile njia ya jamaa nimeipenda..sumtymz kujitoa ufahamu kunasaidia..kelly ikabidi akubali tu kuepusha shari
Ww hata uromantic ule hunao Randol....kazi kujipendekeza kwa peppa tu hukomi shaa!Wanawake hawanaga makubwa hamtujuliagi tu nyinyi yaani vitu vidogovidogo unaona bi dada anapagawa!!!
Kumbe hivyo..ahsante kwa kunisaidia kuwajua..ngoja na mi nikafanye fujo ofisini kwa watu..ntaenda na band kabisa
he he he kiukweli kwani haiwi hivo lol!!Lol sometimes utadhani ni kiukweli kumbe maigizo
Miss kelly hajiwezi yu taabani lkn ajifanya ctaki nataka...ha ha haIla mengi yapo kwenye maisha ya halisi,but mi nimependa ulivyoeleza yaani seems basi hao wanajua kuact
ray lee miss kelly kakolea teh...genye habari nyingine kabisa kajikazaa lkn kwisha habari yake teh teh teh
Genye mbaya sana..unaweza kupita msitu wenye giza totoro bila woga..wakati wa kurudi baada ya kushusha mzigo ndo unajiuliza ulipitapitaje ...ila travis anamjulia Kelly..so hamsumbui
Mmmh! Mwaongelea series gani?
If luving u is wrong
yeah..season 2..nayo ndo imeisha..Duuh mie ndio maana huwa siwezi narration maana when it comes to katching names ni shughuli, labda niwe nimeiangalia kwa muda hasa zile zenye season nyingi tena mara nyingi ni main characters tu, mlipokuwa mkitaja those names kwangu they wr new eti!! Hiyo ni season two??