Series (Special thread)

Ni kweli mkuu part nzuri ni wakiwa porini,wakirudi town inaanza kuboa

Hebu tulia bwana uiangalie, nawe unapenda vya porini eeh?? Tulia uone vya mjini vinavyonoga
 
Yaani mie ndio wa kukufundisha ujue maana hayo maisha nimeyaexperience sn, miss you

Miss u pia mpaka nikiona jina lako moyo unadunda kwa sekunde
 
Hiyo legend of the seeker niliangaliaga ila u cant emagine hata siikumbuki zaidi ya jina, atlantis nimecheki season 1 tu 2 bado, mie yule bonge ndio ananifurahisha, mmmh! Hiyo kuch kuch ya kwenye farasi duuu ngoja tamwambia Viol anielezee vizuri
 
Last edited by a moderator:

Aaah legend of the seeker sipendi,mi sipendi series au kupigana mapanga
 
Atlantis imetoka season 2 na imeisha walianza kutoa episode 6 hadi December 2014 na wakaendelea na the rest episodes April 2015 sahizi walishamaliza season 2 yote na tunasubiri Season 3 Mungu akipenda.

Hiyo cross bones haina yale madude yanayotisha kweli? Maana jina kimenitisha kidogo

Hapana ni Adventure nzuri sana ya pirates ila ina story nzuri sana kuzidi Black Sails kama nayo umeshawahi kuiona. Haitishi hata kidogo just check the trailer ndo utaipenda.
 
Aaah legend of the seeker sipendi,mi sipendi series au kupigana mapanga

Yaani mie ndio zinaniboa balaaa, i checked it kipindi hicho dogo anaiwatch, yaani za mapanga hata hazinogi
 
Ila all in all still 24 HRS is the best series kwangu mimi... ikifuatiwa na Alias, Lost, PB, Dig, Revolution, Vampire Diaries (Ingawaje Nowadays inaboa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…