Wakuu kuna series yoyote Mpya imeanza this summer kwani sahivi naangalia tyrant pekee!
Angalia Wayward Pines, The Whispers na Dark Matter.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kuna series yoyote Mpya imeanza this summer kwani sahivi naangalia tyrant pekee!
Nop ! Jamaa moja sociopath ambaye ni white hacker !
Jamaa SIO sociopath!!
Tafta moja hivi inaitwa Mr. Robot episode ya pili itatoka tarehe 24 this June !
Kumbe nin ?
Ni drug addict, loner, antisocial and kinda a genius; as he can read people, he's intelligent, he's very good at computers.
Anaiona dunia in a way most people dont.
Sio sociopath.
Angalia kwenye dictionary neno antisocial kwa maana nyingine nini ?
Antisocial ninayomaanisha hapo ni ya hapendi kuwa na watu. Socializing sio his thing.
Actually sio kama hapendi, sema hawezi kusocialize na watu Normally !
Mkuu, vip una series yeyote iliyokamilika ???
Bado ndio kwanza imeanza!
Halafu unajua ile episode ya kwanza ilikuwa released net tu. Nadhani hiyo tarehe 24 ndo inakuwa televised then next jumatano ndo episode ya pili.
Ila all in all still 24 HRS is the best series kwangu mimi... ikifuatiwa na Alias, Lost, PB, Dig, Revolution, Vampire Diaries (Ingawaje Nowadays inaboa)
Halafu unajua ile episode ya kwanza ilikuwa released net tu. Nadhani hiyo tarehe 24 ndo inakuwa televised then next jumatano ndo episode ya pili.
Wakuu nani ana series fully kuanzia season one hadi ya mwisho. Hata ikiwa ya zamani
Nazo nyingi za kikorea na za Hollywood yapata 20 na zaidi pia nyingine ambazo zimesitishwa!
Nakupataje mkuu !!