leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 732
Nmeigoogwe hii Mr. Robot plot yake inaonekana nzuri ila mie kuna mtu nmemuona yule Christian Slater mara nyingi simkubaligi kwenye muvi zake nyingi yeye ni actor wa low budget movie
Last ship ni nzuri but ilianza kulost plot yake na sijui hiyo S02 itaendeleaje
But thanks kwa taarifa Subiri niicheki
Mkuuu last ship haijawahi kuloose plots and will never lose.
Na miongoni mwa best series ambazo you can't forward even a second. Pakua episode one uone kama hujalilia episode ya pili itoke hata sasa.
Labda useme hujaipenda tu mkuu lakini sio hio sababu.
Yaah ni kweli last ship ni shda aseeee
Yaani toka episode inaanza hadi inaisha mtu hubanduki.
Nakumbuka nishawahi kuiangalia ila hata sikumbuki matukio, hivi season two ilishatoka?
Imeanza kutoka jna episode ya kwanza...hot than hell
Basi itabidi kwanza nijikumbushe ile ya kwanza aisee, then ndio niendelee
Hahaha poa ila kwa utamu wake hata ukianzia hapahapa unaenda sawa na wengine..
Mfano mm vampire diaries seasons one,two na 3 sijaziona nilianzia season 4 na nikaenda nayo sawa utadhani nimeanza nayo mwanzo.
Mweee na mavampire unaangalia tena!!! Mie hayo makitu yamenishinda kabisaaa, poa ngoja niidownload
Vampire hasitishi sio kama mazombi...seems we muoga.
Mie hayo madude yote yamenishinda kwakweli, i hv a frnd ambae anazipenda balaa, ashanishawishi weee hadi nikaanzaga hiyo v.dieries ila hapana ilinishinda jamani, nimezivulia kofia kwakweli.
Pole sana
Hahahaaaaa! Usinipe pole kwakweli kwenye hiki inabidi niwape pole nyie mnaoyaangalia, how do u guys sleep at night after watching thoz horrible things???
Na ndoto nyevu tunapata hahaha
Duuuuuh!! Haya bwana kilalakherini
Vampire episode za karibuni imepoteza mvuto!