Series (Special thread)

AM watching it br..........cant wait for S2E3, jamaa ki ukweli wamejitahid sana, tafuta Hostages na Legends mkuu ni utazipenda snaaa

Hostages wameishia S01 coz haikupata reception nzuri na watazamaji wengi lakini ni bonge la series
 
Innocizy i hv watched the last ship episod 1 n 2, aiseee ni nzuri mno ila nikagundua season 1 sikuiangalia yote maana nineshanfaa tu meli imevamiwa ila ilivamiwa vp ndio sikujua


Thanks for noticing it...haujaruka episode hata moja my dia kwenye S01, ni kwamba wamechemka, ukiangalia S01 imeishia episode ya 10 ndio wamefika bandari ya Baltimore lakini utashangaa inapoendelea S02E01 meli inavamiwa, captain ameonana na familia yake na hata yule Dada Dr ameshikiliwa yaani kuna mambo mengi yaliyojichanganya.

Inavyoonekana episode 3 za mwisho zilikatizwa kwenye S01 ikaishia episode ya 10 wakati huku kwenye S02 wameshasema watarusha episode 13 yaani unaona hata wenyewe hawajihamini

Action yake iko vizuri nmeipenda but hizi idea za kupambana na kugombana nimezichoka sana zipo kwenye series nyingi sana na zote ni zile zile kuanzia kwenye Revolution, walking dead na nyingine nyingi tu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu chuma cha reli hebu katazame upya season one uone kama haionyeshi meli inatekwa na kama haionyeshi Dr akiwekwa kizuizini na miss granderson....
Season one inaisha captain anawacall subordinates wake wa Nathan James anawaita do u copy kumbe meli ishavamiwa na wanajeshi wa granderson ambao mwanzoni hawakudhaniwa kuwa maadui....
So lastly captain Tom Chandler anauliza "Nathan James where are you" na hayo ndio maneno ya mwisho ktk season one...
Miongoni mwa series bora kwa continuity last ship ipo kaka...
Rudi uitazame upya.
 
Last edited by a moderator:
Pia chuma cha reli captain chandler alionana na familia yake since season one baada ya kugundua granderson hana nia ya kusave majority but her few chosen minority ambao anaamini wana special talents.
Kama ulitazam season one utaona captain aliwakuta baba na watoto wake ktk uwanja wa Olympia ambao wao walidhani watapata dawa kumbe wanauliwa for energy.

Nimegundua mkuu ile kutazama series nyingi unajikuta unazungumzia hiii badala ya ile.
 
Last edited by a moderator:

Si ndio hapo hata mie nimeshangaa, nimejiangaisha kudownload kumbe wao ndio tatizo, wamenimalizia bando langu tu
 

Duuuh chuma cha reli umenikumbusha hii series mwenzio ilinisumbua harari kuielewa, niliikuta mahali nikaweka nikaona siielewi si nikaanzia season 6 khaa sikuirlewa mpaka nilipoirudia na ndio nikaishia kuangalia hiyohiyo season 6 pekee
 
Last edited by a moderator:

Weee kumbe! Hebu ngoja nikaiangalie tena maana nimechek mwanzoni nikahisi haina mahusiano nikaacha
 
Last edited by a moderator:

Unajua kaka Innocizy mie sidhani kama ninaweza kuchanganya vitu kiivyo but kutokana na heshima yako let me nirudie episodi ya mwisho

Lakini ili tatizo sio kwangu tu umeona hata atoto ilimchanganya na akaamini kuna episode ameziruka na mie pia nilijua hivo hivo labda kuna episode nimeruka any way labda utujibu suala hili kwanini tatizo lile lile lililonitokea mimi limemtokea na atoto

Tumezoea Mara nyingi series inapoanza Msimu mpya lazima waweke vipande vya previous season hata mie sijawaelewa

Pia inanipa kibari niamini hivyo ninavyoamin coz hii season 2 wanasema wanatoa episode 13 badala ya 10 kama ilivokuwa kwenye season 1
 
Last edited by a moderator:

Niliangalia episode 2 tu za last ship but series huwa muda mwingine huwa wanaongeza episode kulingana na segment za story na contuity mfano the 100 season 1 ina episode 13 season 2 zilitoka 16
 
Last edited by a moderator:
Nina the affair,flash and power ipi nzuri ya kuanza nayo wakuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…