Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Tena afadhali umenikumbusha aisee, niliiwatch only season one
Lizy(in Raymond Reddington's voice)
Waiting for season 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena afadhali umenikumbusha aisee, niliiwatch only season one
Lizy(in Raymond Reddington's voice)
Waiting for season 3.
Brother chuma cha reli kwasasa empire ndo inaongelewa sana kuliko hio G.O.T
Brother chuma cha reli kwasasa empire ndo inaongelewa sana kuliko hio G.O.T
Brother chuma cha reli kwasasa empire ndo inaongelewa sana kuliko hio G.O.T
.https://kat.cr/under-the-dome-tv25988/ Wapenzi wa Under The Dome Season 3 hatimaye imeacchiwa, kazi ni kwako. Mimi ndio ninaona mzigo sasa na tayari upo kwenye Torrent nikiamka asubuhi naanza nao na hivi kesho sabatho basi swafi.
Ndio mkuu ni juzi, mimi ndio naona sasa maana Nilikua busy na Game of Thrones wala sikucheki online sasa muda huu ndio naiona. Nilikua naingoja kwa hamu.Imetoka juzi na wametoa episodes 1 & 2...
Ukweli ni kwamba G.O.T ndiyo inayoongoza hata ndio maana mpaka watu wametengeneza fanbase katika mitandao ya kijamii hata merchandise zake kama nguo na vitu vingine zinauza sana online, watu wameiga kuita majina mpaka ya watoto wao kutoka GOT mfano jina kama Arya limetokea sana miongoni mwa majina mapya ya watoto hata lugha ya dhoraki imeibua maneno mapya
Empire haijaizidi GoT but ndio series inayoongoza kuongeza watazamaji katika kila episode mpya, yenyewe imeongoza viewers katika miongoni mwa show zinazorushwa na kituo cha tv cha FOX
FOX ni kituo kikubwa sana ndio maana hata 50 cent alicriticise kwamba wanaipromote sana EMPIRE tofauti na ilivyo ili kuiua na kuizidi show yake ya POWER (2014) inayorushwa kwenye kituo cha STARZ
Pia ukiangalia hata report ya IMDb site the most rated tv show of 2015 ambayo imeandaliwa kuanzia September 2014 to May 2015 ambapo GOT ilikuwa bado haijaisha so haikujumuishwa inaonyesha EMPIRE ni ya 18
Game of throne inaongelewa sana kaka mfano tukio lile la Red Wedding ambayo RObb Stark na Mama yake walilouliwa liliongelewa sana kwenye tweeter mpaka likavunja rekodi ya siku hiyo na kwenye mitandao mingine ya kijamii
chuma cha reli aisee kweli last ship ina muendelezo inapoishia season 1 ndipo inapoendelea season 2, Innocizy was rightMhhh kwani bado upo naye mpaka leo huyo boyfriend wako(just asking tu my Dia)
Lost inatakiwa uturie sana ndio utaifurahia ingawa sometimes inabore but ni tamu coz matukio yake yanagusa maisha ya kila mtu maana ukiangalia kila tukio linamaana kubwa sana.
Kwa kipindi cha 2002 to 2012 IMDb imeilisti ni highest listed series in those 10 years kwa maana ndio series iliyoongelewa sana miaka hiyo kuliko nyingine yoyote sawasawa na ilivyokuwa Breaking bad kipindi flani na sasa hivi inayoongoza kuongelewa sana ni Game of thrones
Nafikilia siku mmoja nikiwa likizo kijijini kwetu niirudie
Hahaahha!!!jamaa hawajivungi...ile mkiwa mnaangalia na mwenza hamtaimaliza mapema..mana kila tym mtakuwa mnapause na kufanya sherehe....Nimebakiza ep01 nimalize...
Ngoja nije tuiangalie wote aisee maana km sielewi hivi, hivi haya mambo yanakuwaga kweli ama maana mie nimebaki mdomo wazimbona wako without kabisaaaaa!! Nilikuwa naangalia na dogo acha nikimbilie remort ikabidi niendelee kuicheki kwa laptop, we Innocizy hata hukutoa tahadhari tusiangalie na watoto.
Sure..mwenyewe nilivyoona yale mambo nikamkumbuka atoto...na si tuandae series yetu aisee...kama hii