Series (Special thread)

Niliangalia episode 2 tu za last ship but series huwa muda mwingine huwa wanaongeza episode kulingana na segment za story na contuity mfano the 100 season 1 ina episode 13 season 2 zilitoka 16

Hapo nimekuelewa Mkuu but kwenye hii kesi ya The last ship inaonekana kama kuna sehemu wametuchanganya coz muendelezo wake una mapengo labda iwe sisi ndio tumejichanganya

Kitu kingine nilichokuwa nasema ni matukio mengi ya kwenye hii series ni yale yale kama kwenye revolution na walking dead

Umeicheki Humans
 

Asante sana kaka kwa heshima hiyo mkuu...
Naomba kwa heshima hio hio mimi na wewe turudie episode ya kumi season one then tuanze episode ya kwanza season two tuone kama haviendani na kama hutaelewa.
 
Last edited by a moderator:
Strike back is back, ingawa imerudi kimya kimya sana.Sasa hivi ipo kati ya S05E04 au 05.
 
Duuuh chuma cha reli umenikumbusha hii series mwenzio ilinisumbua harari kuielewa, niliikuta mahali nikaweka nikaona siielewi si nikaanzia season 6 khaa sikuirlewa mpaka nilipoirudia na ndio nikaishia kuangalia hiyohiyo season 6 pekee

Hahaha naona ukalost wewe..

Hii kitu mie bado naikumbuka mpaka leo back in 2007 nilivyokuwa mwaka wa kwanza, Nilijifunza quote's nyingi sana..ambayo mpaka Leo naikumbuka ni hile ya "Everything happen for a Reason" pale Mzee john Locke alipojikuta mguu imepona wakati alikuwa amestroke.

Pia this remind me my College Girl kwakweli we were in love in those college years...nakumbuka tulikuwa tunaangalia pamoja
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa our story is the same aisee hata mie niliiangalia hiyohiyo 07 nilipokuwa 1st year chuo kwa boyfriend wangu sema mie niliiangalia mwenyewe thats why ckuielewa, aliponisimulia ndio nikarudia tena hiyo ya 6 ila ndio sikuiangalia tena, ilinichosha maana mara mtu kafa mara yuko hai mara sijui wamerudi nyuma miaka mingapi cjui duuuh!! Pamoja na kiherehere changu kwa movie hii ilikuwa komesha yangu
 

Mhhh kwani bado upo naye mpaka leo huyo boyfriend wako(just asking tu my Dia)

Lost inatakiwa uturie sana ndio utaifurahia ingawa sometimes inabore but ni tamu coz matukio yake yanagusa maisha ya kila mtu maana ukiangalia kila tukio linamaana kubwa sana.

Kwa kipindi cha 2002 to 2012 IMDb imeilisti ni highest listed series in those 10 years kwa maana ndio series iliyoongelewa sana miaka hiyo kuliko nyingine yoyote sawasawa na ilivyokuwa Breaking bad kipindi flani na sasa hivi inayoongoza kuongelewa sana ni Game of thrones

Nafikilia siku mmoja nikiwa likizo kijijini kwetu niirudie
 
chuma cha reli bwana!! No he is resting in peace now, cancer took him too early, yeah ilikuwa ikisifiwa sn by the time thats why nikashawishika kuiangalia, ila ni bora uiangalie na mtu mwenyewe its kinda borering
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…