Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Akina nani?
Si hii series yako ya kikubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina nani?
Si hii series yako ya kikubwa
Hahaaaa! Eti yangu, akuuu hiyo ya Innocizy, mie ndio kwanzaaa nipo episod ya 7, huu mchepuka hatari, kwakweli ukiwa na unfinished bussiness na gf au bf ksbla hujaoa/kuolewa ni balaa tupu lazima ilete taabu mbeleni km hujitambui. Hizi ndoa zina mambo jamani
Yeah niliiyonaga ilikuwa nzuri sana mie napendaga sana lafudhi za WaUk
Kwenye hii Luther ni wenyewe tu ndio waliamua isiendelee halafu si unajua Idris Elba ni actor Mkubwa so kumantain ratiba yake kidogo ni ngumu as most great actors wanaitaji pay kubwa
Ila nilionaga kipindi flani walisema watatengeneza Movie yake tu au American version series yake ambayo mpaka leo naona kimya
Unajua kule UK hawana strategic nyingi kama Hollywood kwenye upande wa movies
Yah mi si mpenzi sana wa comedy that why sikuwa serious nayo
Mweeeeh!! Hii kweli weka mbaki na watoto kwakweli
Watoto wenyewe hawa wa siku hizi yaani kila kitu wanajua, unaweza ukashangaa wewe ndio unaelekezwa
Tena sehemu ndio wanazipenda hao
Hahahha nilisema hakuna sana.
GOT ndio series gani wadau....najaribu searching siipati, inaitwa hvyo au hiko kifupi chake.please help
Tangu majuzi hii series nimeishusha lakini nakosa muda wa kuitizama episode ya kwanza, inarushwa linihii mkuu?Complications.
Wayward Pines.
We Innocizy yaani hivi ndio hakuna sn jamani, nyie ni wataalamu wa haya mambo na chuma cha reli hebu tuambieni haya mambo wanayafanyaga kweli ama ni logistic gani hutumika, maana wako without kabisaaaaaa!!
chuma cha reli hasante sana sana dear kwa somo hilo maana nilikuwa namshangao mkubwa kwakweli, mmmh hizi movie hapana kwakweli hata km ni mm nakuacha khaaaaaaah!! Maana unaweza igiza ukanogewa ati!!
Mie katika movie zote za Romantic bado naipenda sana Movie moja inaitwa UNFAITHFUL na moja inaitwa Killing me softly nakumbuka niliziangalia mda mrefu sana lakin bado nazipenda jinsi wanavyofanya sex na storyline zake
Tangu majuzi hii series nimeishusha lakini nakosa muda wa kuitizama episode ya kwanza, inarushwa linihii mkuu?
Unfaithfull niliionaga muda enzi hizooo za chuo na bf, ni nzuri kweli, haaahaaaa umependa wanavyofanya nnn!!! Tabia mbaya