Series (Special thread)

Series (Special thread)

Yaani we acha tu, ndio nawatch last ship hapa, power ndio naipakua

Ukimaliza kupakua power pakua na under the dome kama huwa unafatilia pamoja na falling skies. Zinaendelea...
Power tuombe matatizo ya 50 cent yasije hadi kwa hiii series yetu.
 
Angie kwa anavoonekana hana shida kabisa kumtake down James. James nae hana tatizo kummaliza Angie. So wanategesheana now.

Angie alisema a woman will stand by the man she loves haijalishi amefanya nn..nasubiri kuona kama atayaishi maneno yake mana kako so in love kwa jamie..hope she will still be down for him..ila Holly alinifurahisha alipomwambia angie"bitch u r the one sleeping with Ghost not me"..angie akaishiwa pozi
 
Ukimaliza kupakua power pakua na under the dome kama huwa unafatilia pamoja na falling skies. Zinaendelea...
Power tuombe matatizo ya 50 cent yasije hadi kwa hiii series yetu.

Falling skies sijaicheki kabisa, vp ni nzuri? Under the dome tayari
 
chuma cha reli thanx for the wonderfull series, vipi inaendelea hii au ndio mwisho? (jane the virgin)
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo wewe ulikuwa unanifuatilia nimelala saa ngapi na kuamka saa ngapi!!! Au ni nini maana ya kukesha huko unakokuongelea?!!!!!

Yani ninavyokufuatilia ni zaidi ya mama mzazi kwa mtt mchanga ,,,, exactly dats what I mean huko kukesha
 
Naam nashkuru Kwa Baraka zako bibie.... Naamini nitapata lililo la kheri kutoka kwako😎

Kuhusiana na series walaa usijali, watu wajuvi humu so we endelea tu kufuatilia, ila nawe uwe unatupa series zilizokuvutia nasi tuziangalie
 
Back
Top Bottom