Series (Special thread)

Series (Special thread)

"How to make it in America"
Kuna mlioangalia?mnaionaje
 
kuna series ya zamani inaitwa ''tour of duty'' nzuri
 
hiyo modern man niliiacha season ya kwanza kwa ajili ya hao wacameroon.waliniboa sana sikuendelea

Wanakera wale ..me nlikuwa nawaskip naangalia ile family ya Dunphy mostly
 
Back
Top Bottom