Series (Special thread)

Series (Special thread)

Last edited by a moderator:
hv the event inaendelea kweli?
person of interest nayo nzuri, under the dome ni kweli imefika2 au ndio uchakachuzi wa wabongo? mie niliinunua nairobi sema na wao wachakachuzi tu km bongo

The event walicancel muda sana aiwezi kuendelea coz walipata hasara...unajua wanaume wengi tunapakuwa torrent ndio maana series zinazopendwa na wanaume zinakuwa azina watazamaji wengi on TV...za wakinadada zinaongozaga mfano desperate housewives ilishika sana...
Hata mwaka huu game of throne's wanataka kubadilisha mfumo wa mauzo kwa zile TV mpya za kampuni ya Google zilizotoka ili wapate faida zaidi
Under the dome ni nzuri but sikuipenda..
Sasa hivi naangalia The American ina covert operation nyingi sana na utaipenda kama ni mtu wa kiintelegensia.
Game of throne ndio best series of 2013 and 2014 coz ina kila kitu ambacho unahitaji kukijua...siku zote mpole na mstaarabu ndio anaonewa na kukosa haki yake...stark family na Baratheon family ndio noble ila Lanister family wamewazidi ujanja na mbinu ingawa ni mabrave vitani
 
Nazipenda zote ila Kuna moja ya kidaktari ya kikorea inaitwa stranger doctor ni nzuri Acha. Kwa tunaopenda science,innovation
 
The event walicancel muda sana aiwezi kuendelea coz walipata hasara...unajua wanaume wengi tunapakuwa torrent ndio maana series zinazopendwa na wanaume zinakuwa azina watazamaji wengi on TV...za wakinadada zinaongozaga mfano desperate housewives ilishika sana...
Hata mwaka huu game of throne's wanataka kubadilisha mfumo wa mauzo kwa zile TV mpya za kampuni ya Google zilizotoka ili wapate faida zaidi
Under the dome ni nzuri but sikuipenda..
Sasa hivi naangalia The American ina covert operation nyingi sana na utaipenda kama ni mtu wa kiintelegensia.
Game of throne ndio best series of 2013 and 2014 coz ina kila kitu ambacho unahitaji kukijua...siku zote mpole na mstaarabu ndio anaonewa na kukosa haki yake...stark family na Baratheon family ndio noble ila Lanister family wamewazidi ujanja na mbinu ingawa ni mabrave vitani

game of throne mie niliangalia mwanzoni kidogo tu nikajikuta naishia ucngizini, ckuiangalia tenaaaa!!! ni kweli zinazopendwa na wanawake huwa zinauza sana as wanawake pia huwa wanaongoza hata kwa kununua movies na music u know, sasa ni wachache tunaopenda za kijasusi thats y desparate house wives ilishika sn, kwa wanaopenda ya hivyo watafute single ladies na devious maids nayo nzuri sn
 
Game of throne mwazoni imepoa ila kuanzia s02 na s03 ni balaa uwezi kulala mjomba mie naisubir S05 kwa hamu kishenz na kila kila siku natembelea page yao....
Jack Bauer nae karudi vizuri kwenye 24.live another day...
Jamaa anamwambia ure going to enjoy in Moscow...dah I can't wait..
 
John snow na imp wametokea kuwa character niwapendao sana....na watoto wa Nerd stark

John snow the bastard son ndio mfalme wa 7 seven kingdom lazima aingie Kings landing.... Sema Familia ya Lord Nerd Stark itapotea coz wanahuruma sana na hawajui nafasi yao...anza na kifo cha Nerd Stark kafa kwa kutaka haki ifatwe..mwanae Rob stark kauwawa sababu ya mapenzi ndio maana mama yake alilia sana alipojichagua mke akijua kitakachotokea..
Namkubali sana tyrion lannister
 
Series nilizozipenda
24
The Event
Nikita
Jericho
Transporter
The Americans
Prison breaker
Arrows
XIII
Leverage
Hawaii 5 O
Gotham
Legend
Stalker
State of affairs
The blacklist
The flash
Under the dome
Warehouse 13
Almost human
Banshee
Beauty and the beast
Chase
Chuck
Covrt affairs
Crisis
Defiance
Dexter
Extant
Fringe
Gang related
Helix
Homeland
Hostage
Intelligence
King and Maxwell
Mission impossible
Person of interest
Revolution
Rogue
Strike back
Suit
The assets
The following
Tyrant
X files
Zingine nimezisahau coz nimeanza kuangalia series 2005 nikiwa chuo mwaka wa kwanza na series ya kwanza ilikua Prison break then 24
 
yaani kati ya vitu vilivyonishinda ni movies zenye mazombie, cant watch for anything in the world

Bora mazombie kuna horor movies za ma demons hua sizipend unaeza pata mademons kupitia movie kama hzo coz kuna sign zao huonesha ni hatari
 
John snow na imp wametokea kuwa character niwapendao sana....na watoto wa Nerd stark

Me nampenda khaleesi(mother of dragons) jamani i like her guts nipo season 3 siju ataendelea hivo hivo mbeleni pia imp(half-man) nampenda yeye silaha yake ni mdomo anajua kumuingia mtu.
Mnhh ila hii series haifai kuangalia na mtu unatakiwa uiangalie kivyako vyako weka mbali na watoto.
 
Game of throne mwazoni imepoa ila kuanzia s02 na s03 ni balaa uwezi kulala mjomba mie naisubir S05 kwa hamu kishenz na kila kila siku natembelea page yao....
Jack Bauer nae karudi vizuri kwenye 24.live another day...
Jamaa anamwambia ure going to enjoy in Moscow...dah I can't wait..

mayb nitajaribu tena, ila styl ya movie za vile mie sio mpz sn, zipo tu nitazifukua nikimaliza the last ship
 
Hii game of throne nahisi hadi nina matatizo... manake kila nikiiangalia, wapi... full mbonji na forwarding kwa sana wakati wengi wanadai ni moja ya series kali kabisa kupata kutokea!!!

hahaaaa mie nilivyosinzia mara ya kwanza ckurudia tena na ilivyotajwa humu ndio nikakumbuka kuwa ninayo
 
Bora mazombie kuna horor movies za ma demons hua sizipend unaeza pata mademons kupitia movie kama hzo coz kuna sign zao huonesha ni hatari

hayo madude kwangu yote hakuna yenye ubora, yaani siangalii hata iweje
 
Hii post ni bomba but ndo naiona leo
Nimeangalia series kias Fulani but this are my best
24
Crisis
Legends
Walking dead
Spartacus
Missing
Strike Back
Warrior baek dong so
Iris
Athena
A man called God
Night watchman
Two Weeks

Kwenye Crisis Francis Gibson ametisha sana
Last ship
Under the dome
Helix
Banshee
666 park avenue
Prison break
 
Lost bana ndo ilikua best series ever kwangu. Nikimkumbuka sawyer,john locke,jack ben mbishi, kate scene nlioipenda nipale kisiwa kilipo back in time 1976
 
Back
Top Bottom