Series (Special thread)

Series (Special thread)

Yaani 24 nimeshaitizama mara 24....haikinai kabsa.....

Duuuu sasa kwa watu ambao tuko addicted na 24 nani anakaribiana na hiyo japo kwa mbali niweze kuangalia?manake natafuta series ya kuangalia.japo kwa mbali niangalie ipi.wakuu.WY
 
Duuuu sasa kwa watu ambao tuko addicted na 24 nani anakaribiana na hiyo japo kwa mbali niweze kuangalia?manake natafuta series ya kuangalia.japo kwa mbali niangalie ipi.wakuu.WY

Prison break itakufaa sana kama unapenda series za mikasa none stop
 
Wale wa the originals s2 episode ya 10 toka juzi tayari
 
Wale wa power tayari jamaaa wameanza kutoa trela za msimu wa Pili.....

Can't wait aseeeeee...halafu 50 cent ndo executive producer daaah hapaa mkuu chige naomba maelezo kuhusu kuwa executive producers
 
Last edited by a moderator:
mkuu acha tu... yaani Power ni moja ya series ambazo nazisubiri kwa hamu sana!

Tukija suala la Executive Producers, hii inategemeana sana na scale of production lakini kimsing, EP ndie boss katika utenegenezaji wa mzigo husika. Huyu ndie mtoa pesa ku-cover gharama zote za utengenezaji filamu or series. Kwa Hollywood, EPs wengi wanakuwa ni wawakilishi wa Production Studios or sometime Distribution Company. Kwa mfano, ukichukulia Power, option ya kwanza inaweza kuwa ama Studio X or Distribution Company Y inatoa pesa kwa ajili ya utengenezaji wa Power na kumteua 50 Cents kama msimamizi wa Project mzima katika kuhakikisha mzigo unatengenezwa kutokana na standard zinazokubalika na suala zima la malipo kwa kila hatua. Kwahiyo, atakachofanya 50 ni kutafuta Producer na kumtengenezea bajeti kisha yeye 50 kufanikisha bajeti husika on behalf of ama hiyo studio au kampuni ya usamabazaji.

Option ya pili, na hii ndiyo naipa uzito zaidi kwa case ya 50 Cent ni kwamba inawezekana ni 50 Cent mwenyewe ndie anafanikisha bajeti ya utengenezwaji wa Power... kwamba anatumia pesa yake mwenyewe badala ya kuiwakilisha kampuni nyingine. Hii ni sawa sawa na hapa Bongo wewe Innocizy unaweza kuwa na idea au script tayari na pesa ya kutosha na kwamba unataka kutengeneza fialmu. Utakachofanya ni kuongea mathalani na Mtitu ambae atafanya kazi kama Producer na wewe utagharamia kila kitu... katika mazingira kama hayo, Mtitu atabaki kuwa Producer (unless kama atachukua na roles zingine) na wewe utakuwa ndie Executive Producer. Lakini hapo hapo kwa mfano wa Mtitu... inawezekana badala ya wewe kuchangia 100% ya gharama, kinyume chake Mtitu nae anaweza kuchangia sehemu ya gharama. Inapotokea hivyo, wewe utakuwa Executive Producer kama kawaida na Mtitu atakuwa Producer and at the same time Executive Producer.

Nimekupata kaka so its likely 50 ndo boss wa hiii kitu aseeee..na hata ukitazama character aliyopewa daaah...
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mpenzi sana wa hii makitu na nimekua nikitazama sana...

Sikuwa najua hapa JF kuna thread mahsusi kwa hii mambo...

Mara nyingi huwa nasubiria hadi season iishe ndipo naanza kutazama kwa either IPTV (VoD) , torrent downloads etc...
 
kwa series sijui ila huwa nikisikia jina nadownload torrent

Nimeona list yako hapo juu naona kama tunafanana katika uchaguzi wa genre za kutazama...

Jaribu kutafuta:

Homeland (Season 1 - 4) ina mandhari kama ya 24.

Arrow (Season 1 - 3) sasa hivi ipo season 3.

Gang Related (Season 1 - 2)

Break Out Kings hii nimeicheck kitambo nadhani ina seasons mbili tu...

Na nyingine nyingi mno siwezi andika zote...
 
Back
Top Bottom