Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mie nimependa
Tyrant
Power
Scandal
How to get away with murder
Walking dead
Beauty and the beast
Friends
Vampire diaries
Prison break
24
and now Empire (fox)

hiyo beauty and the beast ilinishinda
 
kuna rafiki yangu alinishawishi kweli niangalie hii kitu ila ilinidhinda kabisa

Imepoa Sana,anayechangamsha ni yule ambaye kama mwuaji na ana nguvu za ajabu,ila upande ule mwingine wa mapolisi unaboa tu naona
 
Imepoa Sana,anayechangamsha ni yule ambaye kama mwuaji na ana nguvu za ajabu,ila upande ule mwingine wa mapolisi unaboa tu naona

hata episod moja sikumaliza na hata kumbukumbu nayo sina nimebakia kukumbuka jina tu!! mie movie za hivyo hapana kwakweli!
 
actually napenda sana series za namna hizi. especially za USA sio zile za KOREANS.
others like game of throne etc

Hata mimi napenda sana za aina hiyo baadhi ya nilizowahi kuziona:-
Spartacus
Rome
Da Vinci demons
Crossbones
Vikings
Game of thrones
Marcopolo
Black sails
The merchant of Venice
Merlin's
Reign
Sinbad
Hata my best movie ni Apocalypto na Troy
 
actually nikirud likizo hii nataka nimalizie da vinc maana niliishia S01, na nianze ROME. embu niambie kwanza ni nzur ?
 
actually nikirud likizo hii nataka nimalizie da vinc maana niliishia S01, na nianze ROME. embu niambie kwanza ni nzur ?

Sio kivile mimi niliishia season 1 but da Vinci demons iko vizuri angalia The100 na marcopolo ni nzuri
 
yeah ni series. ila ni ya comedy wapo mastar mbalimbali wa Hollywood wakiongozwa na Kevin hart

Aisee inachekesha ila nilikuta mahali basi nikawa nahisi tu itakuwa series maana ilikuwa kama haijakamilika
 
Back
Top Bottom