Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mi pia napenda ancient story lakin hii naona bado
kwakweli haikunivutia hata!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi pia napenda ancient story lakin hii naona bado
kwakweli haikunivutia hata!
The 100 umeiona mkuu
yeap hiyo nimeiona na nimeipenda sana tu
Mkuu for naamini kuna uwezekano ikatokea kweli one day!
Mkuu hii sijaiona inahusu nini na ni genre ipi?
mmmh!!! usiombee hilo kwakweli, maana hii dunia tunakoelekea it wont be safe again, Mungu tu atunusuru
naangalia ni ya ukweli sanaKuna #empire ni shidaaah
Scrubs, nop.....ngoja niipakueNi kweli i really love it na i enjoy it more as am in the same field vipi ushawahi kuangalia scrubs?
Ila sijaelewa hivi ndio wamemaliza hii season 4 au bado wanaendelea....kile kichapo walichopata Pakistan haitakuwa fair kama hakitalipwaMbele inanoga sana...
Nimetoka kumalizia kutazama season yote ya nne wakati huu wa holidays...
Season ya kwanza zile episodes za mwanzo wanaanza slow ila mbele kidogo story inaanza kuwa twisted na hapo ndipo raha ya series inaanza...
Breaking bad
Kyle XY
Numbers
IRIS
Hata mimi pia zilinishinda ingawa nimeendelea kuzishusha
pamoja na hiyo naangalia pia marco polo pamoja na How To Get Away With Murder !
zote ni nzur
Hivi Kyle XY itaendelea?
Hii ilisitishwa mkuu