mambo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 2,371
- 5,602
Ohhh noooo nimeipenda sanaaa duuh hivi ni sababu zipi zinafanya hizi series tamu kuishia njiani duhhhh.pesa au serikali inaingilia kati ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Hivi Arrow season 4 itatoka lini? Au ngoma ndio imeishia pale?
OMG! Confirmed... Nilikuwa wapi hadi nikasahau kuiweka in my Calendar wakati kalenda yangu inaonesha my coming favorite show in Tyrant ambayo itakuwa premiered next week June 16! Thanks man, Power ipo top in my 2015 list huku nikiisubiria 2016 kwa hamu kuona what will happen to Russian Spies couple ndani ya The Americans ambao their cover is presumably to be blown up by their daughter!!!
Kinachonifurahisha zaidi kumbe hii kitu tulikuwa tunaisubiria wengi manake hata wao wenyewe:
Kwakweli hili swali hata mm nahitaji majibu yake
mi si mpenzi wa series ila hii na Breaking bad zimenikosha sana. nilifurahi wale magay walivyopata ngoma. atleast walionyesha ubaya wa ushoga.Mie mwenyewe devoius naipenda... Sichoki kutizama . weekend hii naimalizia
Hiyo Get away with murder ni nzuri... Inaanza kama flashback.. Ila ni wanafunzi wanasoma sheria na wana lecture wao.. Very strict na proffesional Fanya kazi zake on time.. Sasa kila mwaka anachagua wanafunzi wa 4 wanajiunga na firm yake kufanya kazi.... Ila that time alichagua watano mwanafunzi huyo alimkuta na mwanaume mwingine wakati ana mume
Sasa hao wote wana character zao. Lakini kubwa hawa wanafunzi walikuja kumuua Mme wa huyo lecture wao... Alikua anacheat na mwanafunzi wa chuoni hapo maana ane alikua lecture anafundisha psychology kibaya akampa mimba... Alivojua akamuua na kumdumbukiza katika tank... Maana aligoma kuitoa mimba.
Hii series ilinifanya nitamani ningesoma law lol uitafute ukiweza.
Kwa muonekano wa haraka ni kma imeisha pale...
Ila ukianza kuchimba kwa the way ilivoisha season 3 ni rahisi kwa kuwepo na season 4
Wakuu,
Hivi Arrow season 4 itatoka lini? Au ngoma ndio imeishia pale?
Kwa muonekano wa haraka ni kma imeisha pale...
Ila ukianza kuchimba kwa the way ilivoisha season 3 ni rahisi kwa kuwepo na season 4
Mzigo unaendelea, 4th season imeshakuwa officially renewed! Hata hivyo, itabidi tuwe wapole coz' kwa ninavyofahamu mimi hata casting bado haijafanyika! Anza kuifikiria Arrow kuanzia mwishoni mwa September!Kwakweli hili swali hata mm nahitaji majibu yake
Mzigo unaendelea, 4th season imeshakuwa officially renewed! Hata hivyo, itabidi tuwe wapole coz' kwa ninavyofahamu mimi hata casting bado haijafanyika! Anza kuifikiria Arrow kuanzia mwishoni mwa September!
Ila bora iishe maana ilianza kuniboa
Uongo ukisidishwa lazima iboe
Game of thrones sasa imekuwa too much kila actor anaeonyesha Kupendwa anakufa season 5 imeisha vibaya