Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimeuona Season2 kwenye ep6 kama sio ep7..Most of the todays Tv shows zina hizo mambo, hata Complications, Murder in The First, Na Kwenye The Walking Dead hiko kimeingizwa Season 5.

Ndo tukubali matokeo au??! Dam it!!
 
Katika span ya miaka 5 hv tutakuwa tumeZoea ushoga ....wanatuandaa kiakili ili tuweze kuyatizama haya mambo masebuleni mwetu tukiwa na familia nzima....damt...si yesu aje tu yaishe aaalah!!! Wanaboa mbaya!!
 
Yan sijaelewa niku popularize ushoga au la koz mfano ndan ya penny dreadful ushoga upo,Mr roboot pia , empire ndo kabisa yan duuh aseeh n kwikwi
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

Unapotaja series please don't forget to mention this ' SIRI YA MTUNGI '
 
Back
Top Bottom