Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mkuu...msaada kidogo kwa hii app.

Mwanzon nliishusha...ikawa inafanya vyema...ila baada ya muda ikawa inaleta error kwa kila file nalojaribu kudownload. Nimeuninstall nikaistall upya...lakin tatizo ni bado lipo. Natumia note 3. Please msaada.

Nataka link ya kickass....kwa ajili ya kushusha mafaili ya torrent
 
Ndo mm huyo..Kuna movie inaitwa "pirates 2 stagnetti's revenge"..Bonge moja la movie..Itafute uicheki

Hapa nimegundua kitu hahahah kwamba wewe ni mdau wa yaleeeee mambo yetu...This ain't game of thrones..
 
Under the dome season 3 is getting hotter. Now episode 13..

The last ship is getting hottest...season 2 episode 13 the doc has been shot🙈
 
Under the dome season 3 is getting hotter. Now episode 13..

The last ship is getting hottest...season 2 episode 13 the doc has been shot🙈

Last ship imeishia pazuri ila the battle is far from over

Episode hiyo ya 13 nadhani ndio ilikuwa season finale...

Hapo tusubiri tena season 4...

Jamani mbona mapema sana......
 
Kuna Series inaitwa Small Ville je inaishia Season ngapi? na nitaipataje?
 
Bado hii External HDD inapatikana ikiwa Mpya kabisa kwenye Box lake huku ikiwa na 45 idadi ya TV Series Bomba zinazo tamba hivi sasa.

Wengi walionunua hawakujutia, kwani wamekiri kupata thamani zaidi ya kile walicho Lipa.

Bei: 250K tu.

Kujua Series gani zilizopo ndani,

Whatsapp: 0715-240140


ImageUploadedByJamiiForums1442775085.884332.jpg
 
Back
Top Bottom