Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Ngoja nivumiliie iishe niipakue
bado mbili ndugu yangu msimu uishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado mbili ndugu yangu msimu uishe
Mzigo unatoka broo lini huu??
Oyaa hili tambara limesimama au miyeyusho???
Limesimamia ukucha!! utamuOyaa hili tambara limesimama au miyeyusho???
Mwamba sijaona unamwaga sifa za Samia!! au hujaikubali hii pisi ya Khartoum?
Yule bidada mkalii sana na pia lipo kwenye pillow talk song ya zaynMwamba sijaona unamwaga sifa za Samia!! au hujaikubali hii pisi ya Khartoum?
Ndio 😀😃😃Humo atakutana na bigi mwenzake
Lipo vizuri sanaOyaa hili tambara limesimama au miyeyusho???
Hii Silo ina makeke kweli maana nimuda nimeipakua ila nilivyoigusa episode 1 hata kuimaliza nilishindwa?silo season 2 imefikia ep ya 9 if cap fits View attachment 3198467
Movie mistakesSquid game season 2 episode 7 dakika 22:39 je unajua kamera man alionekana yaani akifanya gusa achia Rudi nyuma 😃😄😄 Cc if cap fits Mr Q Carleen Fake P
Ni makosa tu ya bahati mbaya haya😃😄
View attachment 3196410
Season 3 sijui itakuwaje aiseeHawa wajinga waliiharibu season 2
Afu huwa wanafanya makusudi Hawa jamaaMovie mistakes
Wapo vibopa wanaofanya reviews za movies & series wana point makosa ambayo watazamaji wengi sio rahisi kuyagundua.
Punguza mawazo mkuu, utaenjoy sana humoHii Silo ina makeke kweli maana nimuda nimeipakua ila nilivyoigusa episode 1 hata kuimaliza nilishindwa?
Ipo vizuri sana hiiHii Silo ina makeke kweli maana nimuda nimeipakua ila nilivyoigusa episode 1 hata kuimaliza nilishindwa?
Series kalii sana hii 🔥Oya wanangu Silo imefikia patamu sana aisee!