Series (Special thread)

Series (Special thread)

Power Book nilikosa raha baada ya kumuua Ghost, nilikuwa naumia kama vile ni ndugu yangu wa damu, niliendelea endelea kidogo nikashindwa nikaacha, imagine nilikuwa natamani niskie wamemrudisha Ghost ndiyo nirudi tena kuzitazama, obsession..🙌
Ghost ilifikia mahali kule season za mwishoni alikuwa anaboa sana (mbinafsi mno) 😃
 
Wadau wa documentary series mpo?
1739198615656.png
 
Nawasogezea mzigo huu story imenyooka haina mambo mengi
 

Attachments

  • Screenshot_20250211-225457.png
    Screenshot_20250211-225457.png
    1.5 MB · Views: 3
  • Screenshot_20250211-225457.png
    Screenshot_20250211-225457.png
    1.5 MB · Views: 9
Back
Top Bottom