Series (Special thread)

Series (Special thread)

20250214_220416.jpg

Ya kucheki jumamosi hii Cc Carleen Mr Q if cap fits
 
Sasa mkuu wewe ulitaka waoneshe mataifa mengine kuwa ni bora? Hizi muvi tunazo angalia zimebeba ajenda nyingi ndani yake.
1. Kutukuza teknolojia ya nchi husika
2. Kutukuza vyombo vya usalama vya nchi husika kwa lengo la kuwatisha wengine
3. ushoga
4. Kula muda wa mtqzamaji asiwaze mambo mengine ya msingi.
5. Kudhoofisha industries nyingine za uigizaji kwenye nchi masikini kama tanzania. Leo mtu upo tayari kuunguza GB za kutosha ukitafuta muvi za zamani kama predator au deadly prey lakini hauko tayari kuchoma GB ili udownload muvi inaitwa shamba kubwa au misukosuko.

Upo tayari kuangalia spiderman ila sio nsyuka au muvi nyingine za musa banzi n.k

HIVYO USIFHANI WAMEZINGUA KWA BAHATI MBAYA BALI NI MAKUSUDI

NB: UPO TAYARI KU SUBSCRIBE NETFLIX, HULU, APPLE TV, AMAZON NA NYINGINE NYINGI ILA SIO KULIPIA KIFURUSHI KWENYE DECODER ILI UFUATILIE MZANI WA MAPENZI N.K
Naunga mkono hoja
 
Naomba kusema kwamba
Jack ryan ndio series iliyo beba mishemishe tulizo zizoea kwa akina jack BAWA kwa hivi karibuni. Nipo season 2 episode 7. Wamejitahidi
Season 2 zile harakati kule America kusini sio powa kaka hii series kalii sana
 
Back
Top Bottom