Series (Special thread)

Series (Special thread)

Haha kumbe sipo pekeyangu ..nimejaribu mara kadhaa lakin wapi sikumaliza hata s01
Mkuu kwenye hivi vitu tunatofautiana taste, mimi ukinipa show kama
Twisted metal
Euphoria
One piece
Elite
Na zingine zenye u-teenager ndani yake nitakua na-skip mwanzo mwisho, naweza kuangalia season mzima kwa dk 3 kisha nikaifuta kabisa.

Lakini kwa show kama
Landman
Gentlemen
Agency
Billions
Black Mafia Family
The Rookie
Power zote
Peaky Blinders
The Last ship n.k
Hizi ni show ambazo tunaweza kuzirudia hata mara 100.
 
Mkuu kwenye hivi vitu tunatofautiana taste, mimi ukinipa show kama
Twisted metal
Euphoria
One piece
Elite
Na zingine zenye u-teenager ndani yake nitakua na-skip mwanzo mwisho, naweza kuangalia season mzima kwa dk 3 kisha nikaifuta kabisa.

Lakini kwa show kama
Landman
Gentlemen
Agency
Billions
Black Mafia Family
The Rookie
Power zote
Peaky Blinders
The Last ship n.k
Hizi ni show ambazo tunaweza kuzirudia hata mara 100.
Ukitoa za uteenager,hapo sijaangalia the rookie na Peaky tu..
Landman tamu sana
 
Walter alikuwa anaweka mbali sana familia na biashara yake mpaka wife akasanuka mwishoni
mkuu season zaidi ya 4 hawa madogo wasi kutane?.

Inge niingia akilini kusema wali kuwa na mpango wa kuleta season yenye kuwa unganisha.

Walter vs Jesse= met
Jesse vs mke wa Walter= met
Walter vs mchumba wa Jesse= met
Jesse vs shemeji wa Walter= met
 
Cc if cap fits Mr Q Carleen
20250219_133202.jpg
 
View attachment 3241802
Episode 2 za Reacher season 3 zinaachiwa kesho. Stay tuned!
Zikitoka tu lazima niidownload huwa sina muda wa kupoteza siwezagi kuisubiria zikamilike Mimi since nacheki fringe 2009 nilikuwa siwezi kuisubiria ifike hadi 12 nilikuwa naipiga Moja Moja na ilikuwa inatoka Kila jumamosi kipande kimoja 😎 Cc Mr Q Carleen
 
Back
Top Bottom