Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kitu kitu kingine hiki hapa
No Escape kuna boti moja inaitwa Blue ilipatikana australia ikiwa na michirizi ya damu alama za risasi ila hakuna maiti hata moja, ikitokea ufilipino ambapo kulikuwa na watu saba ila aliyebaki ni mmoja hivyo series inaelezea nini kilitokea mpaka akabaki mtu mmoja akielezea akiwa anahojiwa na maaskari.

View attachment 3270265
Ngoja niidownload hii 😎
 
20250314_204241.jpg

Cc Carleen Mr Q

Mpya hii EP 2 zimetoka online tayari
 
Back
Top Bottom