Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ukiona hivi unakumbuka nini? Vincenzo Jr
IMG_5743.jpeg
 
Wazee wa single pita na hii hapa

No way up
 

Attachments

  • 08949B2E-938E-4B5C-8ECC-7285F4851456.jpeg
    08949B2E-938E-4B5C-8ECC-7285F4851456.jpeg
    414 KB · Views: 1
Ichekini hii serious Kali sana ni ya kirussiView attachment 3264416
Inahusiana na jamaa moja ambaye ni criminal ambaye ameshakinukisha kwenye makundi ya kigaidi na vile vile anatafutwa na polisi so mara nyingi kukwepa kukamatwa au kujulikana huwa anaamua kujibadilisha sura kwa kufanya surgery Sasa akaamua kuchukua sura ya mfanyabiashara fulani ambaye Hana Mambo ya kiharifu kabisa, huyo mfanyabiashara anajikuta anaingia kwenye balaa zito kwa sababu ya yule criminal kuchukua sura yake na kufanya matukio ya kiharifu. Yaani hii series inahamshahamsha mwanzo mwisho ni Kali sana
Vincenzo Jr
Mr Q
https://kinogo.org/12212-mertv-na-99.html
Яндекс — поиск по видео

Shughuli inabaki kwenye subtitles, kama lugha ya MUCH KNOW Putin inapanda, rukeni na hizo links.
 
Back
Top Bottom