Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Kuna series moja nzuri sana ambayo sasa ndio inashika vichwa vya habari duniani kote na hii series inaitwa Tom Clancy's Jack Ryan. Mfululizo wa Tom Clancy’s Jack Ryan unamuhusu mwamba mmoja wa kuitwa Jack Ryan, mfanyakazi wa CIA anayejihusisha na ujasusi wa kimataifa, uchambuzi wa mambo hatari, na kujaribu kuzuia mizozo mikubwa ya kidunia kabla haijafika kwenye hatua hatari zaidi.
Filamu hii inazungumzia siasa, usalama wa dunia, na mashambulizi ya ugaidi, huku Ryan akikabiliana na wanasiasa hatari, makundi ya kigaidi, na mifumo ya siri ya kimataifa. Mfululizo huu wa filamu hii unavutia kwa sababu unachanganya ujasusi wa hali ya juu, teknolojia ya kisasa, na geopolitiki halisi, mara nyingi ukitoa matukio yanayoweza kutokea au hata kuashiria matukio halisi ya dunia ya hivi sasa, hivyo kumpa msikilizaji au mtazamaji hali ya kusisimua jinsi dunia ya siasa na usalama wa kimataifa inavyofanya kazi. Ni mchanganyiko wa kusisimua, akili kutumia, na kutia msomaji ndani ya dunia yenye hila, hatari, na matukio ya dhahiri ya kisiasa.
Katika moja ya Season yake ambayo ni pili (Season 2) anaongelea mkasa mzima wa Nchi ya Venezuela namna ilivyo na mafuta ambayo ni kivutio cha Marekani, badae Venezuela inaingia kwenye mvurugano wa kisiasa, na Rais ambaye yupo anakumbwa na kashfa ya madawa ya kulevya, udikteta na mambo mengine ya hovyo na utawala wake unaanguka. Series ya Tom Clancy’s Jack Ryan Season 2 inamuonesha Jack Ryan, mfanyakazi wa CIA anayejihusisha na uchambuzi wa hatari za kimataifa, wakati Venezuela inapoingia kwenye mzozo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi. Ryan anakusanya taarifa, kuchambua hatari, na kujaribu kuzuia dhoruba ya kisiasa kabla haijafika kwenye hatua hatari zaidi.
Season 2 ambayo inahusu mkasa huu imetoka mwaka 2019, miaka 6 badae kitu kilichokuwa kikifanyika kwenye movie hii ndicho kinarudiwa kwa uhalisia. Hata Rais wa Venezuela ndani ya Filamu hiyo anafanana jina la Mwanzo na Rais halisi wa Venezuela. Kwenye movie Rais aliyengolewa anaitwa "Nicolas Reyes" na kwenye uhalisia Rais alitekwa anaitwa "Nicolas Maduro", sio coincidence ni kitu kilipangwa. Wazungu uwa wanaficha matukio yao ndani ya movie na kisha miaka kadhaa mbele wanafanya jambo hilo
Katika filamu (Series) Hii Jack Ryan ni mchambuzi na mpelelezi wa CIA anayefanya kazi ya kuchambua mambo ya kijasusi na kushirikiana na majasusi wengine kutimiza adhima ya Marekani. Kipande hiko ni sehemu ya Mwanzo wa Season 2 ikimuonesha anachambua Taifa la Venezuela kabla ya kwenda kupindua utawala wa Rais aliyeko. Utofauti ni kuwa kwenye filamu Rais anapinduliwa sio kwa kutekwa kama namna ilivyotokea. A
Unaweza kudownolad Season hii nzima na kuelewa nachozungumzia kupitia link hii: DOWNLOAD Tom Clancy's Jack Ryan S01 & S02 (Complete) | TV Series