Series ya STAMINA

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
Wiki iliyopita stamina alitoa wimbo mmoja wa future wife.

Hapa katk verse ya kwanza alikuwa anamwita aje popote alipo ila verse ya 2 alimwambia asubir kwaza mambo sio poa. Ila mwisho kaletewa bi dada na kapata mimba.

Mwendelezo wa 2
STAMINA ft 🍌 banana zoro wimbo UKIZALIWA .
wimbo huu unaelezea mahusia ya mtoto kutoka kwa baba na ni kwa pande 2 me na ke.
Baba yupo anahangaika na mwisho wa siku kapata mafanikio.
Anarudi nyumbani anakuta mkewe ana mchizi mwingine ndani.

Tusubiri sehemu ya 3 wiki ijayo JUMANNE
 
Sehemu ya Tatu ni MAPENZI AYANAMANA akimshirikisha Lody music
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…