Series ya Wassape imeanza hii hapa

Series ya Wassape imeanza hii hapa

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Hatimae kile kitendawili cha muda mrefu cha Issue ya WASSAPE kutoingia Dar Es Salaam kwa takribani miaka10 kimeteguka.
Baada ya Camera zetu za makachero kumshuhudia kwenye daladala viunga vya Dar Es Salaam akitokea Kijijini kwao huku akiwa na furaha ya kutosha.....#Inaendelea....Usikose.
To be Continued....
@NgarenaroBoy.
 

Attachments

  • aah.jpg
    aah.jpg
    26.4 KB · Views: 30
  • ah.jpg
    ah.jpg
    29 KB · Views: 29
Hatimae kile kitendawili cha Muda mrefu cha Issue ya WASSAPE kutoingia Dar Es Salaam kwa Takribani miaka10 kimeteguka..Baada ya Camera zetu za Makachero kumshuhudia kwenye Daladala viunga vya Dar Es Salaam akitokea Kijijini kwao uku akiwa na furaha ya kutosha.....#Inaendelea....Usikose.
To be Continued....
@NgarenaroBoy.
soon na mimi nakuja na series yangu.
Very soon
 
Nikiangalia bongo movie/comedy akili zangu hua zinapungua kwa 40%.
 
Back
Top Bottom