Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,123
- 2,449
Hatimae kile kitendawili cha muda mrefu cha Issue ya WASSAPE kutoingia Dar Es Salaam kwa takribani miaka10 kimeteguka.
Baada ya Camera zetu za makachero kumshuhudia kwenye daladala viunga vya Dar Es Salaam akitokea Kijijini kwao huku akiwa na furaha ya kutosha.....#Inaendelea....Usikose.
To be Continued....
@NgarenaroBoy.