Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Sio Juakali , Kombolela, Dunia, Big boss na tamthilia nyingine mnadhani wasanii mmeshaona nguvu ya wa wananchi
Unafki umewaponza. Watu wengi walikuwa wanahitaji sana support yenu kama nyie mlivyosapotiwa na wapi mwisho mkaendekeza uchawa wenu.
Anyway bigup sana Rose Ndauka, Jakline Wolper na wasanii wengine mliokuwa na wananchi tangu mwanzo